Nina Changamoto kubwa sana wadau inanisumbua... ushauri wenu muhimu

We angalia makubaliano na maelewano na mzazi mwenzio
Makubaliano ni yale yale... account ni ya huyo mama mtoto na namba ya zimu ni yake... kuna utofauti gani sasa... wameomba meseji nimewatumia zote... kuna tofauti gani hapo?
 
Pole lkn angalia na moyo wako kama unampenda bibie stahamili

Kiukwel bibie bila kuongopa hayuko kabisa moyoni, tena pamoja na matatizo haya ndio wanazidi kunitoa kabisa kwenye reli. Ninachokapendea kana K tamu tu (sorry kwa hili)

Ila tayari nilikuwa na mchumba ambaye baada ya kusikia hili suala aliboreka tukawa hatuelewani na ndio nataka nimbembeleze tu hapa kama itawezekana
 
hapo wanafanya hivyo kwa vile huwezi chomoa, coz huyo ni mwanafunzi

Yeye mwenyew alikuwa private kashasoma mwanzo akamaliza form six akapata zero akarudia tena private... na ndio alichokuwa ananidanganya kuwa keshamaliza kumbe alikuwa karudia shule
 
Waambie kama hawakubaliani na meseji hutumi tena hata mia waende wanakotaka na binti yao basi waende ustawi wa jamii.
 
Ulifanya kosa kwa kua makubaliano yalikua utume kupitia bank hapo inaonesha mama alikua anawapiga bao cha kufanya ongea na mama mkwe ndio anajua kwa nini wanasumbua
Mkuu account zote ni za mama mtoto hata hiyo ya benki ni ya kwake na yeye ndio mwenye password
 
duuu iyo ni zaidi ya saccos
kama ulifanya makosa kwanini walikubali kuongia agreement iyo? chakufanya kata mawasiliano ila uyu dada mtumie matunzo ya mtoto kila mwezi wakitaka waende ustawi wa jamii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom