Nina certificate ya Information Technology, natafuta kazi Dar es Salaam au Mwanza

Cliffthug

New Member
Jul 15, 2021
1
45
Ndugu watanzania, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 mwenye changamoto ya kukosa ajira. Naomba msaada wa ajira yoyote ile kwani nina uhitaji sana.

Elimu yangu nilifanikiwa kumaliza kidato cha nne na kujiunga na chuo cha Uandishi wa Habari nikasoma semester moja ila sikufanikiwa kumaliza kutokana na changamoto ya kifedha lakini baada ya mwaka mmoja nilijiunga na chuo cha DIT na kuchukua kozi ya information technology (basic certificate in information technology) niliyosoma kwa mwaka mmoja.

Naomba msaada wenu, kwa sasa nipo Dar es Salaam Kigamboni. Kwa mawasiliano +255783807803
 
Stefano Mtangoo

JF-Expert Member
Oct 25, 2012
5,317
2,000

Nakushauri kam upo home, ingia mtandaoni jinoe kwenye fani unayoipenda, fanya mazoezi na omba sehemu ujitolee ili kujinoa zaidi.

Ukiisha kuwa vizuri fanya few projects weka Github na uzitumie kama reference ya kuombea kazi.

Vyeti haviwezi kukusaidia kupata kazi kwa biashara ambazo zinaajiri based on value brought in. Labda kule ambako ni position based, ambazo ni chache na zimejaa.
 
mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
9,837
2,000
Basi umeamua kumpoteza mwenzako maana uhalisia utakuwa unaujua
Simpotezi mkuu kariakoo ukiwa na kimeza na na benchi na vifaa vyako kama ni fundi simu hukosi hela ya kula au unajibanza kwa fundi mzoefu ndio watu wanaishi mjini hapa
 
Stefano Mtangoo

JF-Expert Member
Oct 25, 2012
5,317
2,000
Simpotezi mkuu kariakoo ukiwa na kimeza na na benchi na vifaa vyako kama ni fundi simu hukosi hela ya kula au unajibanza kwa fundi mzoefu ndio watu wanaishi mjini hapa
Hicho kimeza, vifaa ni bure? Umeme atakaotumia ni bure? Kuwa fundi mzoefu inachukua muda gani?

Kujibanza kwa fundi kivipi? Kama ni kumsaidia unapata posho ina tofauti gani na volunteering niliyoshauri?

Kiufupi unless awe dalali au awe kijakazi wa fundi, ushauri wako hauko practical
 
Stefano Mtangoo

JF-Expert Member
Oct 25, 2012
5,317
2,000
Akisubiri kuajiriwa atapoteza muda ajira hazina guarantee,usidharau vyuo vya veta ndio mkombozi wa sisi watoto wa masikini
Sijamshauri asubiri kuajiriwa tu. Kuomba kazi ni pamoja na tenda, kazi za watu, kupata kwenye biashara zingine kama consultant na pia kuajiriwa mahali.

Zote zinataka skills ambazo lazima zipikwe na zinatumia muda.

Sijadharau veta wala! Ila elimu haitoshi bila kupata mazoezi ya kutosha. Hii ni kwa kila fani na kila kazi
 
mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
9,837
2,000
Hicho kimeza, vifaa ni bure? Umeme atakaotumia ni bure? Kuwa fundi mzoefu inachukua muda gani?

Kujibanza kwa fundi kivipi? Kama ni kumsaidia unapata posho ina tofauti gani na volunteering niliyoshauri?

Kiufupi unless awe dalali au awe kijakazi wa fundi, ushauri wako hauko practical
Volunteering ataenda kwa miguu kazini au atakula mawe,pesa lazima itumike tu huwezi kufanikiwa bila kuingia cost,hapa tunatafuta unafuu
 
Stefano Mtangoo

JF-Expert Member
Oct 25, 2012
5,317
2,000
Volunteering ataenda kwa miguu kazini au atakula mawe,pesa lazima itumike tu huwezi kufanikiwa bila kuingia cost,hapa tunatafuta unafuu
Hapa sasa ndio umerudi kwenye point yangu ya msingi. Sio rahisi kama comment yako ya kwanza ilivyokuwa inaonesha. Kuna gharama kubwa unalipia kwenye kujiajiri
 
mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
9,837
2,000
Hapa sasa ndio umerudi kwenye point yangu ya msingi. Sio rahisi kama comment yako ya kwanza ilivyokuwa inaonesha. Kuna gharama kubwa unalipia kwenye kujiajiri
Hapo sawa huwezi kutoboa maisha bila kutoboka mfuko mi niliwahi kwenda bukoba kufanya interview na kazi nikaikosa ***** nauli,çhakula guest laki mbili yangu ikapotea
 
Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
9,816
2,000
Ndugu watanzania, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 mwenye changamoto ya kukosa ajira. Naomba msaada wa ajira yoyote ile kwani nina uhitaji sana.

Elimu yangu nilifanikiwa kumaliza kidato cha nne na kujiunga na chuo cha Uandishi wa Habari nikasoma semester moja ila sikufanikiwa kumaliza kutokana na changamoto ya kifedha lakini baada ya mwaka mmoja nilijiunga na chuo cha DIT na kuchukua kozi ya information technology (basic certificate in information technology) niliyosoma kwa mwaka mmoja.

Naomba msaada wenu, kwa sasa nipo Dar es Salaam Kigamboni. Kwa mawasiliano +255783807803
Pitia nyuzi za Jamii Opportunities kisha solve tatizo lilipo anzia hapa Jifunze kumuacha aende
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom