Nina barchelor ya economics and sociology.

Feb 7, 2019
25
45
Habari!ndugu wana jf wenzangu,nahitaji msaada wa kupata kazi ili na mimi niweze kuyaendesha maisha yangu ipasavyo kwani nimeshahangaika sana kutafuta kazi tangu nimalizie chuo mwaka 2011,

Nina uzoefu wa kufanya kazi maeneo ya sales,customer care na pia nina uwezo wa kufanya kazi yoyote itakayoniwezesha kuingiza kipato naamini kupitia hapa nitapata kazi mungu awabariki Wana jf wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

natoka hapa

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
8,495
2,000
Mkuu sikuvunji moyo ila nakushauri ujikite kuangalia namna utakavyo jiajiri kwa chochote ulichonacho, mambo ni tight sana hususani kama hauna wa kukushika mkono.

Mambo ni magumu sana, kuendelea kutafuta kazi ni sawa na kupoteza muda tu maana hakuna tumaini lolote mbele yako.
Watu wanapeana dili kimya kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 

mbari

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
504
500
Hapa ndo ule usemi unaosema.. Hakuna infrastructures ambaz znaweza mtu kujiajir au kuajiriwa... Yaan sekta binafs na sekta za umma!! Mfano hakuna wawekezaji wapya kwa kipnd kirefu sana ambao wame invest to the extent kwamba wanaweza ajir vijanabzaid ya 1000per intake.
Tumeona nchi imekuwa n propaganda zaid ya kutimiza yale ya muhimu...
Ukosefu wa ajira na mazingira mabov ya kujiajir n shida kwa nch yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

mbari

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
504
500
Ushauri wangu fungua tuition ya masomo ya biashara hapo mtaan kwenu
Habari!ndugu wana jf wenzangu,nahitaji msaada wa kupata kazi ili na Mimi niweze kuyaendesha Maisha yangu ipasavyo Kwani nimeshahangaika Sana kutafuta kazi tangu nimalizie chuo mwaka 2011,Nina uzoefu wa kufanya kazi maeneo ya sales,customer care na pia Nina uwezo wa kufanya kazi yoyote itakayoniwezesha kuingiza kipato.Naamini kupitia hapa nitapata kazi mungu awabariki Wana jf wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom