monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,265
- 11,306
Kuna Uzi humu jamaa alikuwa anauza pikpik laki 7 yupo Mbagala
Ni pikipiki ndo wanapiga mara kwa mara na ndo zilizotelekezwa kwa wingi na nyingi zinaozea vituoni!! Magari sina uhakikamkuu mbona nilisikia wanajipigiaga pasi wenyewe tuu?? na jee gari pia zinapatkana??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo wapi mkuu ili niweze kuzichanga hizo za juu. Na ina kadi?