Ni zipi hizo mkuu?Hiyo pesa unao uwezo wa kui triple ndani ya mwaka. Ziko biashara za non perishable tangiable products ambazo zina guarantee ya kuuza inapofika season yake na supply inakuwa hai satisfy demand miaka yote.
Hivi una habari kwamba "Asilia" ni trademark ya kampuni ya utalii?!Karibu uwekeze kwenye startup yangu asiliatz.co.tz, utahitaji kurisk 10M Tsh kwa hii.
Mbalizi sehemu gani mkuu..na mchele je mbeya ikojeMmeruka ruka weeeeee ila mmedharau kuweka mazao store .......
Haijwahi kutokeo mchele na maharage yakawekwa store na bei isipande,never.
Nakupa mfano hai Mbeya sehemu inaitwa mbalizi nilinunua debe la maharage kibrangeti kwa sh.18,000/- grade one kwa sh 18000+2000 ya kiroba+dawa+store debe Ni 20000/- mwezi wa tatu trh 15 mwaka Jana.Maharage ya Tshs.7,000,000/- debe 350.Mwezi wa tano trh 15 nikauzA haraka sana maana mwezi wa sita Kuna maharage ya mwezi wa sita.Bei niliyouza Ni 25,000/- nikapata 8,750,000/-ndani ya miezi miwili.Minimum risk,no tax.
Mwezi wa sita mwaka Jana,nikanunua ya 8,500,000 kwa 18000/- debe+kiroba+dawa+store jumla 20000/-debe.Nikauza mwezi wa 11 kwa debe 33,000/-.
kumbuka Nauza yote kwa jumla, nikapata milioni 14+.huu Ni mwaka Jana ....
Mchele sijaongelea Bado..
Achana na mahindi. Huna stress yeyote ile unaenjoy maisha tu
Viwanja ni pesa ngp?? huko!Sikia Kijana hyo hela tafuta kiwanja next na barabara ya lami maeneo ya Goba....nunua...fungua car wash ya maana piga kimya.
Eneo lita appreciate, kodi hulipi na in the long run utajikuta una garage matata sana na hela yako isharudi long tym ago.
Na hilo eneo biashara yeyote utafanya hata kufyatua matofali.
Go buy an investment property i.e. Land kikubwa uwe na hela flani ya kufanya biz let say 20 - 25 Million. Hutojuta Joh Niamini.
Viwanja ni pesa ngp?? huko!
Mkuu samahani US $ 1 ni sawa na shilingi ngapi ya kibongo...?Wanajamii nimekuwa na wakati mgumu wa kuamua kufanya biashara gani itakayonifaa nitakapoamua kuacha kuangaika kwenye kazi za watu,
Nahisi pesa nilionayo($23,000=milioni 50 hivi za shilingi) inafaa kuwekeza ila nakuwa na wakati mgumu wa biashara hipi inafaa kulingana na pesa nilionayo au njia zipi nipitie ili niwe na mafanikio katika biashara yangu
Kwa mwenye kuwa na uelewa au uzoefu na maswala ya biashara na ushauri wa mambo haya anaweza kunishauri nipite njia zipi au nini nifanye kuwa bora katika biashara yangu ya aina yeyote ninayotaka kufanya
NINAWAKARIBISHA WAKUU.
Imekaribia elf 2 mia 2 na cent kadhaa
Fanya Biashara inayotrend sasa hivi mjini na vijijini ya Kutengeneza Mifuko mbadala.Imagine una kakiwanda chako kidogo cha mashine za kichina na kuzalisha halafu unasuply nchi nzima.Ukitaka kufanikiwa fanya hii ukitaka kupoteza muda endelea kusoma ideas.Ukipendezwa na hii nicheki tuyajenge.(Machine,Materials na Strategies).Wanajamii nimekuwa na wakati mgumu wa kuamua kufanya biashara gani itakayonifaa nitakapoamua kuacha kuangaika kwenye kazi za watu,
Nahisi pesa nilionayo($23,000=milioni 50 hivi za shilingi) inafaa kuwekeza ila nakuwa na wakati mgumu wa biashara hipi inafaa kulingana na pesa nilionayo au njia zipi nipitie ili niwe na mafanikio katika biashara yangu
Kwa mwenye kuwa na uelewa au uzoefu na maswala ya biashara na ushauri wa mambo haya anaweza kunishauri nipite njia zipi au nini nifanye kuwa bora katika biashara yangu ya aina yeyote ninayotaka kufanya
NINAWAKARIBISHA WAKUU.
Kujaribu ndio kila kitu mimi niko huku mbona hakuna swala kama hilo huwa nakodi magari sometimes kazi yangu inajumuisha sana watu so vipindi kadhaa inabidi nipate magari ya ziada hapo nakodi kwa watu , so naona sana uwanja wa wanaokodisha magari kikubwa kua na mtu wa kumpa abc, tena hata usimamii unazikabidhi kwenye kampuni mnakubaliana kiasi zinakua kwenye kampuni husika wewe unakaa kando unakula hela yako tu taratibu. Kikiwa kipindi cha high season ambayo kwa Zanzibar ni kuanzia mwezi wa saba mpaka mwezi wa nne kama hujawahi booking na kama hujulikani basi hata magari hupati yote yanakua occupied
Mkuu kwanza nikupe hongera kwa kuweza kupata kiasi hicho cha pesa kama walivyosema wakuu wengine ni nyingi lakin pia ni kidogo.Mim nashindwa kukushauri vizuri kwa sababu sjajua uko wapi na unafanya nin lakin generally unaweza kuzingatia ushauri wa mkuu aliekuambia utafute eneo nnje ya mji ambako ujenzi unaendelea ufungue hardware.Wanajamii nimekuwa na wakati mgumu wa kuamua kufanya biashara gani itakayonifaa nitakapoamua kuacha kuangaika kwenye kazi za watu,
Nahisi pesa nilionayo($23,000=milioni 50 hivi za shilingi) inafaa kuwekeza ila nakuwa na wakati mgumu wa biashara hipi inafaa kulingana na pesa nilionayo au njia zipi nipitie ili niwe na mafanikio katika biashara yangu
Kwa mwenye kuwa na uelewa au uzoefu na maswala ya biashara na ushauri wa mambo haya anaweza kunishauri nipite njia zipi au nini nifanye kuwa bora katika biashara yangu ya aina yeyote ninayotaka kufanya
NINAWAKARIBISHA WAKUU.
Unaichukua yard Zanzibar, magari bei chee zenji