Nina 200k Nataka gari ya mizigo kwenda Dodoma.

Mweusi Mweupe

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
332
500
Kichwa cha habari kinajitosheleza.

Nahamishia vitu vyangu vya ndani (vyombo) huko makao makuu Dodoma ili kufuata fursa mpya.

Kwa yeyote anayefahamu au kujua jinsi ya kupata usafiri wa Lori kwa bei tajwa na anijulishe haraka.

Wenu mwanaJF msaka fursa.
 

h120

JF-Expert Member
Jan 10, 2012
2,421
2,000
Nenda jangwani kuna malori yanapakia mizigo kwenda mikoani, funga vizuri mizigo yako, ikiwezekana kwenye mabox makubwa, unaweza kuchajiwa 6000 mpaka 12,000 na kuendelea kwa kila box au furushi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom