Nina 200,000/= naweza pata simu gani wakuu?

unapata samsung s6 mpya kutoka china kwa 160000 nauli 40000 ila unaipata ndani ya wiki moja, nikusaidie kuagiza kwa seller wangu. Nauli utalipia baada ya mzigo kufika.
nikuelekeze uende ofisini hapo kariakoo kama upo Dar lkn
 
Habari za mchana wakuu, natumaini muwazima wa afya, kama kichwa cha habari kinavyojieleza nataka kununua simu ya kusogeza maisha sasa embu wajuzi wa mambo mnishauri nitapata simu gani kwa hiyo hela?
Nipe 150000,nikuachie Huawei P9 lakini uka unlock wewe mwenyewe
 
Kama utaongeza 30 kuna hii

Samsung A10.
Used.
Neat

IMG_8414.jpg

IMG_8417.jpg
 
Back
Top Bottom