Nina 11 CBG, faculty gan znanihusu zaid?

bbyfay

Member
Jun 3, 2013
26
3
Habari zenu wakuu, naomben list ya faculty nzur ninazoweza kusoma kwa matokeo haya DCD-(cbg), nilipata II ya 20 o'levo.
 
Mkuu mimi sijakuelwa kabisa!

Hata mimi sijamuelewa. Kichwa cha habari kinaonyesha yeye ni form six wa point 11 CBG. Habari yenyewe inaonyesha yeye ni form four point 20! Which is which. Jipange.

Hata hivyo kama ni form 6 hiyo CBG itakupa options za ualimu, course za SUA na hata Medicine!

Kwa muundo wa sasa vyuo kama IFM unaweza kusoma kozi zote za business! Mambo yote ni vile upendavyo wewe. Nenda upendako.
 
Mkubwa unaweza soma education chuo chochote option ni nyingi sana
Wildlife management SUA
Foresty SUA
Wildlife conservation udsm
BVM SUA
ACCOUNTANT _Vipi BAM
 
Hata mimi sijamuelewa. Kichwa cha habari kinaonyesha yeye ni form six wa point 11 CBG. Habari yenyewe inaonyesha yeye ni form four point 20! Which is which. Jipange.

Hata hivyo kama ni form 6 hiyo CBG itakupa options za ualimu, course za SUA na hata Medicine!

Kwa muundo wa sasa vyuo kama IFM unaweza kusoma kozi zote za business! Mambo yote ni vile upendavyo wewe. Nenda upendako.

Hiyo DCD maana yake ni marks alizopata kwenye CBG yake sema vijana wa siku hizo wapo ki-digital zaidi kuwaelewa shida.
 
upload_2018-4-30_10-7-31.png
 
Back
Top Bottom