Nina 1,500,000 msaada wa mawazo wana ndugu

makakara

Member
Feb 14, 2013
30
2
mimi ni kijan anina umri wa miaka 22 nina kiasi hicho cha pesa mkononi naombeni kuuliza nifany biashara gani ili pesa yangu izalishe elimu yang ni diploma ya IT pia nina nina computer 2 zeny spesc kubwa pamoja na mashine moja ya kunyolea {wahl 300} mpya ujuzi mwingne graphics designer,web designer video producer.KAZI NILIYOKUWA NAFANYA KAMA IMEFIKIA MWISHO WAKUU SO CNA JINS TENA naombeni ushaur
 
Fanya design ya web, video, graphics itakulipa, tumia hiyo pesa kutafuta ofisi ya kuanzia na kujitangaza kibishara
 
Dogo usikate tamaa maana kuna wenzio hawana hata hicho kianzio. kuna jamaa wanasema Vicky Kamata ana taasisi inoyotoa mikopo kwa vijana, nasikia ukiwa na akiba ya 1M unaweza kopa hadi 4.5M na zawadi ya bajaji juu. Kama ni kweli kimbilia huko uongeze mtaji halafu uanze biashara ya maana lakini fanya utafiti wa maana kabisa.
 
Sasa kama 1.5m hajajua afanyie nini, akikopa 4.5m atajua cha kufanyia kweli?
 
nashukuru mkuu kwa ushauti bt ni mkoa gani mzuri kufanya hiyo kazi coz nipo moshi now

anzia moshi coz huku kwingne utakuwa umejiongezea gharama za maisha kwani utahitaji kupanga chumba cha kuishi na cha biashara, utahitaji kula na matumizi mengne kipindi unakomaa kutangaza biashara yako, hivo anzia ulipo kuepusha gharama
 
Sasa kama 1.5m hajajua afanyie nini, akikopa 4.5m atajua cha kufanyia kweli?

Nafikiri kinachomtatiza hapo ni kuwa 1.5 ni mtaji mdogo ndiyo maana anataka kiasi kikubwa kidogo ambacho anaweza kufanya kitu kinachoeleweka mkuu.
 
Dogo usikate tamaa maana kuna wenzio hawana hata hicho kianzio. kuna jamaa wanasema Vicky Kamata ana taasisi inoyotoa mikopo kwa vijana, nasikia ukiwa na akiba ya 1M unaweza kopa hadi 4.5M na zawadi ya bajaji juu. Kama ni kweli kimbilia huko uongeze mtaji halafu uanze biashara ya maana lakini fanya utafiti wa maana kabisa.
kaka nashukuru kwa kunifungua lakin hiyo tasisi sijaiskia huku mikoan ilas ntajitahidi kuitafuta kk
 
mimi ni kijan anina umri wa miaka 22 nina kiasi hicho cha pesa mkononi naombeni kuuliza nifany biashara gani ili pesa yangu izalishe elimu yang ni diploma ya IT pia nina nina computer 2 zeny spesc kubwa pamoja na mashine moja ya kunyolea {wahl 300} mpya ujuzi mwingne graphics designer,web designer video producer.KAZI NILIYOKUWA NAFANYA KAMA IMEFIKIA MWISHO WAKUU SO CNA JINS TENA naombeni ushaur
Fanya utafiti kuhusu biashara ya nguruwe pori kule morogoro wanalipa sana, ukitaka naweza kukuunganisha na jamaa mmoja anafanya hizo biashara
 
Ungepata center ungeanzisha library kwa elimu yako ya it ungefanya mambo meng sana hapo hapo kama kuweka program kweny comp nk
 
Na mi naomba uniunge na huyo jamaa tafadhali.

Huyu jamaa yupo morogoro na ili nikupe namba yake ni pm mana hapa siwezi, ni mdogo wangu yupo very handsome kama mimi hivyo wadada watamsumbua sana wakimwona whatsupp
 
Back
Top Bottom