Nimwonavyo Dr. Slaa (Maoni yangu)

Digaller

JF-Expert Member
Oct 20, 2009
745
427
KWA MABADILIKO ALIYOYALETA Dr SLAA NASHINDWA KUJIZUIA KUMFANANISHA NA MARTIN LUTHER KING NA HARAKATI ZAKE ZA KUWAKOMBOA WATU WEUSI NCHINI MAREKANI.

HONGERA Dr SLAA WWE NI MWANAMAPINDUZI WA UKWELI WA WATANZANIA.:israel:
 
Tuendelee kumpa sapoti huku tukiwaandaa wengine watakaorithi nafasi yake.
Chonde tusijekuwa kama NCCR
 
Dr Slaa amelay foundation ya upinzani Tanzania. Ameonyesha ni jinsi gani upinzani unavyotakiwa kubehave. Now upinzani needs to build on this. Kuna thread huko nyuma tulikuwa tunadiscuss issue ya grassroot campaigns baada ya uchaguzi. Kuna umuhimu wa kuwatafuta hawa 50% ya waliojiandikisha kupiga kura lakini hawakupiga.
 
Aah Slaa ni nguvu ya SODA TU! ,hana lolote,kati ya SLAA n LIPUMBA Nani aliyetikisa katika wagombea waupinzani?
 
Aah Slaa ni nguvu ya SODA TU! ,hana lolote,kati ya SLAA n LIPUMBA Nani aliyetikisa katika wagombea waupinzani?
EH, HUYU JAMAA KWANZA YUPO WAPI. KAMA NI ZANZIBAR BASI HANA KOSA. ILA KAma YUPO anafuatilia kote basi tumwache kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. kama kichaa akichukua nguo zako ukioga, ukimkimbiza tu, basi wewe ndo kichaa. si upo uchi???
Huyu zero anataka atupotoshe. ASHINDWE NA KULEGEA!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
To me slaa is professor ukiangalia jinsi alivyoweza kubadilisha watanzania kukiona chama cha machakachuaji kuwa hakifai. Na vile vile kuwa alert wa tz walindekura zao ni fika kuwa watu tumejionea wenyewe sisiem walivyo majizi. Sasa hivi changamoto iliyoko kwa slaa nikuwafikia watu waishio vijijini. Na ukiangalia kule alipo fanikiwa kupita (mijini) chadema imeweza kuibuka kidedea kwakweli.:peep:
 
Umesema kweli mkuu. Kinachotakiwa kwa sasa ni mshikamano katika Chadema. Ili kuwajengea wananchi imani hasa katika mikoa iliyo nyuma katika mambo mengi ambao bado wanaamini kwamba bila CCM nchi haitawaliki. Ninacho amini kwa sasa, kama hali ya kisiasa ktk chadema itaendelea kuwa na hamasa kama ilivyo kwa sasa, katika miaka mitano CCM ikimsimamisha mtu asiyefahamika kupambana na Dr. Slaa watakuwa na wakati mgumu sana!!
 
KWA MABADILIKO ALIYOYALETA Dr SLAA NASHINDWA KUJIZUIA KUMFANANISHA NA MARTIN LUTHER KING NA HARAKATI ZAKE ZA KUWAKOMBOA WATU WEUSI NCHINI MAREKANI.

HONGERA Dr SLAA WWE NI MWANAMAPINDUZI WA UKWELI WA WATANZANIA.:israel:

Mimi simfananishi na Martin Luther King, ila naomba niseme Dr. Wilbrod Slaa ni Jiwe kuu la pembeni lililokataliwa na waashi, kama tunavyosoma katika vitabu vitakatifu.....
 
Umesema kweli mkuu. Kinachotakiwa kwa sasa ni mshikamano katika Chadema. Ili kuwajengea wananchi imani hasa katika mikoa iliyo nyuma katika mambo mengi ambao bado wanaamini kwamba bila CCM nchi haitawaliki. Ninacho amini kwa sasa, kama hali ya kisiasa ktk chadema itaendelea kuwa na hamasa kama ilivyo kwa sasa, katika miaka mitano CCM ikimsimamisha mtu asiyefahamika kupambana na Dr. Slaa watakuwa na wakati mgumu sana!!
hii ni kweli kwa sababu niwajuavyo ccm hawatabadilika kiutendaji, na wananchi ndipo chadema waendelee kuwaelimisha taratibu
Kwa vile maisha ndani ya miaka 5 ijayo yatakuwa magumu zaidi, chadema tena tutasogea kiulainiiiii
hadi kuchukua nchi na kuwashtaki mafisadi wote.
Nakwambia Chadema wakiingia Tz itakuwa si Masikini tena
 
AKILI KAMA YA KOBE. UNAWEZAJE KUMLINGANISHA DR. SLAA MWANA MAGEUZI WA KWELI NA pro.lipumba, pumbaf mkubwa, HUYO LIPUMBA ANASIMAMA KWA MARA YA NNE KUGOMBEA URAIS NA BADO WATU HAWAMJUI UTALINGANISHA NA DR. SLAA MARA YA KWANZA LAKINI NCHI IMETIKISIKA. SUBIRI 2015 UTAONA KITAKACHOTOEA:A S-baby:
 
pumbavuuuu........:)))))))))))))) nenda darasani kasome. Akili zako zimekaa ki-macca macca.
 
Naam nashkuru umepata kaka,ni wazi SLAA Ahadi zake hazina msingi,mpaka sasa ana mda mrefu katika ubunge,je ameleta Mabadiliko gani Karatu,je ameondoa umaskini au kakuza kiriba tu na 1st lady wa msimo,Tanzania bado haijafikiwa kuongozwa na mhuni
 
habari za kuaminika ni kwamba majimbo mengi slaa kaongoza ila nec wameripoti data wanazojua wao wenyewe. Mfano dar dr. Slaa alifunika vibaya hadi ikabidi makada wa ccm waombe msaada usalama wa taifa ili zichakachuliwe kwanza kabla ya kutangazwa....

dr.slaa atatoa data baadae leo......
 
hivi wewe kikwete uoeni hata aibu kuwaibia watanzania mchana kweupe, unataka tuzungumze na wewe kwa lugha ya kikwele ili utuelewe, maana nake sidhani hata kama hiko kikwele unajua kwa kweli. Sasa tunasema hivi tumekuchoka ikulu siyo kijiwe cha familia, majungu, ushirikina na mengineyo ya gizani unayo yafanya wewe, kuliko kuondoka na aibu bora umwage manyanga kwa busara. Na wasiwasi kama miaka mitano utamaliza kwa kuwa utabiri wa mchawi wako mkubwa "shekhe yahya" utatimia.
 
Back
Top Bottom