nimwelewe vipi?

nsee a muro

JF-Expert Member
Dec 12, 2012
241
124
heshima mbele wakuu. baada ya kushiriki humu jamvini kama mgeni leo nimeona nijiunge kisha nipatiwe ufumbuzi wa tatizo langu kutoka kwenu.

Mimi ni kijana ambaye elimu yangu ni ya msingi tu, kwakulitambua hilo ilinipasa kutumia kazi ya ziada kujiendeleza kimaisha kwani nilijua kusoma kushanitupa mkono. ukweli nilijiingiza katika kazi za ujenzi kama fundi mwashi ambaye nilishinda site na mafundi waliozoea hadi nikatoka na ujuzi ambao leo hii nautumia. sina hali mbaya kimaisha kwani kazi zangu za ujenzi zinanipa shavu nene na hasa ukizingatia kwamba nilibahatika kuwa mtundu sana wa kutengeneza building materials na kuuza hasa tofali, miguu ya tembo, urembo wa fensi, vyungu vya maua na vitofali vya uani.

kwa bahati mbaya sana niliwah kupata ajali mbaya wakati najenga nyumba moja(kupaua) nilidondoka na kupooza mguu wa kushoto hivyo nikaishia kuwa mlemavu wa mguu. lakin hali hii haiku nikatisha tamaa sana kwa msaada wa marafiki niliikubali na kufikiri nawezaje kujiendeleza kimaisha manake kama ni kilema tayari ninacho ila mguu upo na unatembea ingawa kwa kuuvuta.

kutokana na hali hii nilikuwa bize sana na kazi, na nafurah kuona ubize ule ulinisaidia sana sana kiuchumi kiasi kwamba sijutii wala kulaumu.lakin kama mjuavyo wapendwa moyo wa kupenda kuwa na mwenza huwa hauchagui aina ya mtu wala elimu wala kazi, hivyo nikjikuta nimeanguia kumpenda binti mmoja wa kizaramo. binti huyu tulikutana maeneo ya jirani ambako kulikuwa na site nasimamia ujenzi sasa yeye alikuwa mpishi wetu. kiukweli kwa macho ya kiume binti alinivutia sana sana, hivyo ikabidi nimweleze langu la rohoni.

Binti alikubali kuwa rafiki yangu na tulielezana mambo mengi ya tulikotoka. kwa uzuri binti alaikuwa muwaz akaniambia ana mtoto mdogo wa miaka 4 wa kike nikakubali mie kumlea mtoto huyo na ukweli nilimpenda sana binti hivyo sikuona tabu kumlea huyu mtoto. na hata kumsomesha. kwasasa binti yuko darasa la pili.

kama mjuavyo mapenzi yakikaa muda mrefu basi mtu hutamani ndoa, ndivyo ilivyokuwa kwangu, nikatamani nifunge ndoa niishi na binti, nikaanza taratibu za posa kulingana na desturi zao. bahati mbaya sana binti akawa mjamzito, aliponiambia nikamwambia basi usijali kwa vile tumeshaanza taratibu za ndoa tuilee mimba. kwangu mm ilikuwa kama baraka manake sikujua kama ningeweza kuzaa kutokana na ajali niliyoipataa so aliponiambia nilifurah sana sana.

tukiwa katikati ya taratibu ili tukabariki ndoa binti alianza kelele kwamba anataka kuolewa akiwa binti( hana mimba ) hivyo anahitaji hela aende akatoea ujauzito huo. nilikataa kabisa na kumwambia kwamba kama akiitoa basi ndoa hatakuwepo tena. nilifikiri ni utani mwezi uliopita binti alitoa ile mimba kienyeji. nilifwata na mtu akaniambia kwamba binti anaumwa, nikaenda pale nikamchukua kupeleka hosp kufika dr kumpima akasema katoa mimba sasa tumbo bado halijasafishika vizuri. nikaingia mfukoni nikamgharamia kwa dawa za sindano na vindonge na huduma za kusafishwa. kisha akarudi nyumban.

kwa hasira niliyoipata sikuweza kurudi kwao baada ya kumrudisha kutoka hosp. wiki iliyopita nimepata habari kwamba yule binti analiwa kipara na wajanja kwa buku maisha yake ni magumu. kiukweli haya mambo yamenichanganya sana sana kiasi kwamba naanza kuharibu kazini. naombeni msaada wenu je nifanyeje juu ya hali hii??

najua sieleweki kimaandishi lakini wachache mtaweza kunisaidia niondokane na msongo wa mawazo jamani. sikuwahi kupenda mtu zaid ya huyu binti na sijui kama kuna mtu anaweza kunipenda tena ama sitakiwi kupenda? je kwanini binti aharibu mimba inawezekana kweli isiwe ya kwangu ama ni kwamba hataki kuzaa?
 
Pole sana, kw aushauri wangu, kama bado unampenda sahau yaliyopita umrudie na muanze upya.
 
Ndio tatizo la kupenda hilo nakushauri kaa chini panga maisha yako upya muombe Mungu upate wa kwako kwa sababu wako wengi na huenda huyo hakuwa kwa ajili yako.
 
Story yako imeniumiza roho mno sijaimalizia.mungu at atakubariki na mtu mwema .your in my prayers
 
work like u dnt need money,love like you've never been hurt and dance like nobody is watching you.
 
we come to love not by finding perfect person,but by learning to see an imperfect person perfectly
 
Kwanza pole kwa msongo wa mawazo!Pili,katika mahusiano kuna mikwaruzano ya hapa na pale.
"
Uvumilivu ndo kitu cha msingi sana ndugu yangu.Binti huyo tayari ameshakosea.Pia kosa lenyewe si la kuwafanya mtengane
"
Ni jambo lililotakiwa mkae chini mzungumze na mlipatie ufumbuzi.
"
Jikague vyema na ufikirie kama unamhitaji.
"
Kama unamhitaji ya nini kujitesa?
"
Kwangu mimi hilo ni kosa dogo sana.Mtafute,kwa kuwa umepata habari amekuwa akitembea na wanaume tofauti tofauti,mweke chini mweleze aache,nendeni mkapime afya zenu kisha mfurahie maisha.
"
Yanini kujitesa maisha haya?
 
Wahenga walisema, "utu uzima jalala"...
Kwa hali uliyonayo na kwa kadri ulivyotueleza kumhusu mwenzio(tabia na maamuzi), binafsi nashawishika kuamini you guys aint in love(hampo katika dimbwi la mapenzi).
Ninahisi kwamba mpenzi wako alishawishika kuwa nawe ili walau apate ahueni ya kumtunza mwanae.
Nashindwa kuelewa iweje leo anatoa ilihali yupo na mtu aliyemhakikishia ndoa! kwa nini basi hiyo ya mtoto wa kwanza hakuitoa kwa kuwa pia hakukuwa na ndoa....??
Kaa chini na mwenzako muongee kinagaubaga, mustakabali wa maisha yenu.
 
Pole sana mkuu, Mungu amekuepusha na matatizo. Si ajabu hata hiyo mimba haikuwa yako.
 
Kwanza pole kwa msongo wa mawazo!Pili,katika mahusiano kuna mikwaruzano ya hapa na pale.
"
Uvumilivu ndo kitu cha msingi sana ndugu yangu.Binti huyo tayari ameshakosea.Pia kosa lenyewe si la kuwafanya mtengane
"
Ni jambo lililotakiwa mkae chini mzungumze na mlipatie ufumbuzi.
"
Jikague vyema na ufikirie kama unamhitaji.
"
Kama unamhitaji ya nini kujitesa?
"
Kwangu mimi hilo ni kosa dogo sana.Mtafute,kwa kuwa umepata habari amekuwa akitembea na wanaume tofauti tofauti,mweke chini mweleze aache,nendeni mkapime afya zenu kisha mfurahie maisha.
"
Yanini kujitesa maisha haya?

That woman is a killer. Achana nae! wapi wengi wenye akili timamu.
 
Mimi ushauri wangu get rid of her while u can. Huyo si mwanamke, hafai kua mke, na ukiendelea nae anaweza hata kukusababishia maradhi ya moyo na kifo.

Kwa sasa tulia, kama ulivofight baada ya kupoteza mguu, fight pia na sasa. halafu mbona wanawake wapo wingi sana, its just a matter of time utapata mwengine.
 
Polee saana

Aaah, mkuu wakati nakaribia mwisho wa hii story nikawa nawaza "angekuwepo The Boss" angetoa wazo zuri...

So Com'up plz.. We need to hear from you Mkuu, this is very critical..

Unajua kwa michango yenu wengi tunajifunza, sema chochote The Boss bhana.
 
Kwanza Pole Sana Mkuu, nilivyoeelewa ni hivi:

Huyo mdada analiwa mzigo na wanaume wenzio huko kwao kwa kuwa hana njia nyingine ya kupata mkwanja.. Anafanya hivyo ili kujikimu, kumbuka ushamzoesha maisha mazuri kutokana na juhudi zako kazini.

Kwa Upande wa kutoa mimba sijafikiria kiundani sana, ila acha nikwambie kitu, kulea mimba ni kazi sana.. Kumbuka tayari anamtoto, mbaya zaidi amemlea kwa miaka 4 mwenyewe kabla ya kukutana na wewe, hivyo anajua machungu na Karaha zote za kulea... Kuna uwezekano hataki kushika mimba hiyo kwa sasa kwakua hataki kukumbuka magumu na mabaya yaliyotangulia..

Pia tukiangalia kutokea ktk angle nyingine inawezekana anakuepusha na lawama za kudumu.. Kuna uwezekano ukawa siyo ujauzito wako kwa kuzingatia kua muda mchache baada ya kurudi kwao amekua tayari kushiriki tendo la ndoa na wanaume wengine, hii ni kusema kwamba ana uzoefu wa mambo hayo, so pia inawezekana pia ulipokua nae alikua pia anagawa pembeni..

Ushauri wangu ni huu; Unajua alievaa kiatu ndiye ajuae msumali unachomea wapi, wewe binafsi ndiyo unafahamu nafasi ya huyo malkia ndani ya nafsi yako..

Hayo ni matatizo ya kawaida tu katika maisha ya ndoa hasa katika kizazi hiki cha digital bila kuzingatia kabila la shemeji yetu.

Kaa chini muyazungumze wewe na yeye.. Atakavyokua anarespond hoja ma mitazamo yako utajua usuke au unyoe..

WANAUME TUMEUMBWA MATESO
 
Aaah, mkuu wakati nakaribia mwisho wa hii story nikawa nawaza "angekuwepo The Boss" angetoa wazo zuri...

So Com'up plz.. We need to hear from you Mkuu, this is very critical..

Unajua kwa michango yenu wengi tunajifunza, sema chochote The Boss bhana.

Watu hukusoea mno kusema
'sijui kama nitaweza penda mwingine'
ukishajifunga hivyo utateseka mno....

rule ya maisha..ni moja tu
ukiona mtu anakutesa move on..
 
heshima mbele wakuu. baada ya kushiriki humu jamvini kama mgeni leo nimeona nijiunge kisha nipatiwe ufumbuzi wa tatizo langu kutoka kwenu.

Mimi ni kijana ambaye elimu yangu ni ya msingi tu, kwakulitambua hilo ilinipasa kutumia kazi ya ziada kujiendeleza kimaisha kwani nilijua kusoma kushanitupa mkono. ukweli nilijiingiza katika kazi za ujenzi kama fundi mwashi ambaye nilishinda site na mafundi waliozoea hadi nikatoka na ujuzi ambao leo hii nautumia. sina hali mbaya kimaisha kwani kazi zangu za ujenzi zinanipa shavu nene na hasa ukizingatia kwamba nilibahatika kuwa mtundu sana wa kutengeneza building materials na kuuza hasa tofali, miguu ya tembo, urembo wa fensi, vyungu vya maua na vitofali vya uani.

kwa bahati mbaya sana niliwah kupata ajali mbaya wakati najenga nyumba moja(kupaua) nilidondoka na kupooza mguu wa kushoto hivyo nikaishia kuwa mlemavu wa mguu. lakin hali hii haiku nikatisha tamaa sana kwa msaada wa marafiki niliikubali na kufikiri nawezaje kujiendeleza kimaisha manake kama ni kilema tayari ninacho ila mguu upo na unatembea ingawa kwa kuuvuta.

kutokana na hali hii nilikuwa bize sana na kazi, na nafurah kuona ubize ule ulinisaidia sana sana kiuchumi kiasi kwamba sijutii wala kulaumu.lakin kama mjuavyo wapendwa moyo wa kupenda kuwa na mwenza huwa hauchagui aina ya mtu wala elimu wala kazi, hivyo nikjikuta nimeanguia kumpenda binti mmoja wa kizaramo. binti huyu tulikutana maeneo ya jirani ambako kulikuwa na site nasimamia ujenzi sasa yeye alikuwa mpishi wetu. kiukweli kwa macho ya kiume binti alinivutia sana sana, hivyo ikabidi nimweleze langu la rohoni.

Binti alikubali kuwa rafiki yangu na tulielezana mambo mengi ya tulikotoka. kwa uzuri binti alaikuwa muwaz akaniambia ana mtoto mdogo wa miaka 4 wa kike nikakubali mie kumlea mtoto huyo na ukweli nilimpenda sana binti hivyo sikuona tabu kumlea huyu mtoto. na hata kumsomesha. kwasasa binti yuko darasa la pili.

kama mjuavyo mapenzi yakikaa muda mrefu basi mtu hutamani ndoa, ndivyo ilivyokuwa kwangu, nikatamani nifunge ndoa niishi na binti, nikaanza taratibu za posa kulingana na desturi zao. bahati mbaya sana binti akawa mjamzito, aliponiambia nikamwambia basi usijali kwa vile tumeshaanza taratibu za ndoa tuilee mimba. kwangu mm ilikuwa kama baraka manake sikujua kama ningeweza kuzaa kutokana na ajali niliyoipataa so aliponiambia nilifurah sana sana.

tukiwa katikati ya taratibu ili tukabariki ndoa binti alianza kelele kwamba anataka kuolewa akiwa binti( hana mimba ) hivyo anahitaji hela aende akatoea ujauzito huo. nilikataa kabisa na kumwambia kwamba kama akiitoa basi ndoa hatakuwepo tena. nilifikiri ni utani mwezi uliopita binti alitoa ile mimba kienyeji. nilifwata na mtu akaniambia kwamba binti anaumwa, nikaenda pale nikamchukua kupeleka hosp kufika dr kumpima akasema katoa mimba sasa tumbo bado halijasafishika vizuri. nikaingia mfukoni nikamgharamia kwa dawa za sindano na vindonge na huduma za kusafishwa. kisha akarudi nyumban.

kwa hasira niliyoipata sikuweza kurudi kwao baada ya kumrudisha kutoka hosp. wiki iliyopita nimepata habari kwamba yule binti analiwa kipara na wajanja kwa buku maisha yake ni magumu. kiukweli haya mambo yamenichanganya sana sana kiasi kwamba naanza kuharibu kazini. naombeni msaada wenu je nifanyeje juu ya hali hii??

najua sieleweki kimaandishi lakini wachache mtaweza kunisaidia niondokane na msongo wa mawazo jamani. sikuwahi kupenda mtu zaid ya huyu binti na sijui kama kuna mtu anaweza kunipenda tena ama sitakiwi kupenda? je kwanini binti aharibu mimba inawezekana kweli isiwe ya kwangu ama ni kwamba hataki kuzaa?

Tatizo lako la kwanza ni kujiona huwezi k'kupata yeyote unaemtaka'
sasa kwa kuwa huyo alijitokeza na wewe ukaona umebahatika kumpata..

kumbe huyo ni kicheche tu kama vicheche wengine...sanasana angekusummbua kwenye ndoa

kuhusu kumuelewa..nani aliekuambia tunatakiwa kuwaelewa watu woote tunaokutana nao????

wengine wao wenyewe hawajielewi,why wewe uumize kichwa kuwaelewa?

just move on..tafuta mwingine....fast
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom