Nimwacheje Mpenzi huyu?

Wadau wa JF
Nawashukuru sana kwa ushauri wenu , na kweli hapa ni kituo cha kupata majawabu . Pasipo na taarifa na ushauri kweli maaangamivu ni dhahiri. Kwa hilo Bravo saana.
Kuhusina na mada ya “Kama ungekuwa wewe ungefanyeje” Nimefanya uchunguzi wangu kulingana na maoni mabalimbalai ya wana JF na nimegundua kuwa mwenzi wangu sio mwaminifu . Nimechunguza sana na kugundua kuna watu bado wanmmega na nikimwambia anakataa. Nampenda sana. Nimejaribu kivyangu kumuacha lakini inashindikana , kwani haipiti dk 5 sijamwaza , na nikimuwaza naumia sana roho yangu na nakumbuka siku niliyokutana naye ya kwanza. Naumia sana roho inaruka tu kila mara na hata tu nikisikia sauti yake . Mwishowe najiuliza au kanitendea nini huyu bibi.
Kwa hali iliyopo ya sasa mie niemechunguza afya yangu iko saafi , pamoja na kukaa naye kwa muda mrefu ya uchumba. Baada ya kugundua hayo nikimwambia akachunguze afya yake hataki anasema ataenda akipenda yeye na sio kwa kulazimishwa. Nikisikia tu sauti yake nashindwa hata kuconcetrate kitu chochote.
Je ni njia gani niiitume ili niweze kumwacha na kutokuendelea kuumia kiasi hiki?
Je katika wachangiaji kuna yeyote aliyekutana na dhoruba hii na kama yupo katika depth ipi ya mapenzi aliyokuwa nayo, na je alitumia njia gani kuweza kuondokana na hii adha?

...Raha ya kupenda ni kupendwa shekhe.
Bibie kagundua anapendwa na anajua abonyeze kitufe gani kukontroo mahusiano.
Cha msingi hapa usitafute mbinu za kumtoroka baada ya KUMCHIMBUA sana mpaka ukakinai. ila uliza mbinu zipi utakazotumia kukusaidia kumrudisha ktk mstari.
Pole kwa kuathirika na ushauri wa wana JF ila nijuacho mie kuwa hapa watu wanashauri positive na si vinginevyo. Hivyo ulipoamua kumchunguza mwenzi wako ulikuwa umeshadhamiria kutaka kumtosa ila haukujipa nafasi ya kutafuta mazuri yake ili kuyatumia kuendeleza uhusiano.
Umeliingia segere baba cheza tu hata kama chozi lakutoka. na ukitaka asitoke nje tena wewe MMEGE kiasi cha kufaa hatotoka nje.
 
njia rajisi ya kumwacha/kumsahau mtu aliyekuganda kwenye akili ni kubadili mazingira na then kutafuta replacement at that aprticular time ya kuchange environment.mimi nishakumbwa na msiba huo.tena unakuta mtu unayempenda ukijidai humtaki tu mara moja analeta mabasha wake hadharani na hajari matokeo yake unaumia zaidi na zaidi. jambo la kufanya ni kubadili mazingira kwa muda angalau mwezi mmoja au miwili then tafuta replacement.
 
Kwa nini siku zote mtu unayetokea kumpenda kwa moyo wako wote inakuwa kinyume kwake yeye anakuwa hayupo kabisaaaaaa anakupenda basi tuu lakini sio zaidi yako wewe unavyo mpenda wewe.
 
Pole kaka kwa yote...ila ngoja niwaseme hawa wanajf leo. Kwa kweli nimejua ninyi ni wanafiki, kuna mada siku moja aliitoa mama mmoja aitwaye kama na kumbukumbu vizuri Mrs Mtaba. Aliiuliza mada kama hihi, ila majibu aliyopata...kwa hiyo inamaanisha kwa jinsi nilivyowasoma wanaume wanakuwa more attention then women! Why?. Rekebisheni tabia zenu na muwe fair kwa watu wote.

Ok narudi kwa ndugu yangu...huyo msichana wewe achana naye...mambo kama haya yalishanikuta mimi binafsi...kama walivyokushauri awali kaa karibu sana na Mungu yote haya yatakwisha. Mimi yaliponikuta nilishindwa hata kufanya kazi kabisa...kila nikienda kupimwa hospitali naambiwa sina tatizo...ilifikia kudhani kwamba nimerogwa...niliishinda hiyo roho kwa jina la YESU, na mpaka leo am a strong lady...hakuna kinyangarika chochote kinachoteteresha maisha yangu...napambana kwa kwenda mbele. God bless you my dear...remember life is short and sweet!
 
kwanafsi ya binadamu ilivyo. unajua mwanadamu nafsi yake haishibi. na hii ilitokana na upungu wa utukufu wa Mungu uliokuwa umemfunika kuondokasasa mwanadamu anakuwa katika kupungukiwa nafsini na kwa maana hiyo anafanya kila akifanyacho ili aishibishe nafsi yake lakini haishibi. milliomairte bado halali akiwaza aweje namba moja kwenye utajiri. mwingine anawaza afenyeje kituko ambacho hakijajawahi kufanya.utasikia mtu anarisisha mbwa hoteli. basi tu. back to the point ni kwamba. nafsi ya mwenzio ikihisi kupendwa zaidi inajikinai na kutaka kwenda kwenye new level kwa kuwa nafsi hairidhiki.so mwenzio akiona umempenda beyond expectation zake anajikinai na kuona hicho ni kitu cha kawaida na kujenga mazoea mwishowe ule upendo hauoni kuwa ni kitu matokeo yake ni kuanxza kufanya hayo madudu.
 
Kwa nini siku zote mtu unayetokea kumpenda kwa moyo wako wote inakuwa kinyume kwake yeye anakuwa hayupo kabisaaaaaa anakupenda basi tuu lakini sio zaidi yako wewe unavyo mpenda wewe.

...umesahau formula ya KIATU? ambapo mvaaji ndiye hukontroo kiatu?? so ombea uwe kiatu halafu mwenzi wako ndo mvaaji utakoma kwa raha zake.

PENY
nimekubali post yako ila ujue kwamba hapa huwa tunachangiaga mada kutokana na hali ya hewa ya siku hiyo. Kwa mfano leo sina nauli ya kurudi home jioni unadhani nitachangia kwa busara??
tuhurumie........ ila nimekuzimikia ghafla tu bila kutumwa na mtu
 
au teseme angekuwa amekufungisha ndoa halafu akaanza kufanya uchuro huo si ungechanganyikiwa kabisa? kwani kama wewe ni mkristo uliyekuwa kiimani unajua ndoa havunjiki. sasa je angekufikisha halafu akaanza hayo hapo ungefanya nini.mshukuru Mungu. wanawake ni wengi sana. utakuta mmoja ambaye ni mwema mara saba ya huyo na mzuri wa umbo tena mpole .utakuwa ukitokwa machozi ukikumbuka ulikotoka na kumshukuru Mungu kila siku.
 
....somo la uvumilivu ni GUMU kwa kizazi hichi
kawaulizeni mama zetu walivumiliaje mabalaa ya ndoa mpaka sasa uzeeni wanakumbatiana kwa mapendo na baba zetu?
 
tena jichunge sana siku hizi kuna ndoa za mitego. hasa wanawake ndo wanaozitega. anakulengesha ndoa ya serikali halafu anakufanyia unyama. kutoka sio rahisi.
 
tena jichunge sana siku hizi kuna ndoa za mitego. hasa wanawake ndo wanaozitega. anakulengesha ndoa ya serikali halafu anakufanyia unyama. kutoka sio rahisi.

..pole mkuu, yamekukuta nini?
mwaga data yaliyojiri ili tukae matanga na wewe hapa kukufariji
 
1. Mkuu punguza speed ya kuwasiliana nae.
2. Mtishie kumla tiGo kama hujawahi zungumzia au mwambie mi sasa basi hata tiGo hujawahi nipa.
3. Kama ulikuwa unamtoa toa out kiana kata kabisa out zote.
4. Tafuta kifaa/toto i/kingine kinacho mzidi huyo umbile,sura n.k
5. Kama ulikuwa unamlea lea kumtumia vocha na pesa kidogo kila week end kata huduma hizo.
6. Mchimbe mkwala au akitaka kuja kwako getto mkwepe unaweza ukamwambia upo mbali n.k
7. Akizima fegi mpe ukweli sasa kuwa wewe na yeye basi aendelee na mapedeshee.

ikitokea akakubali kumpa hiyo tigo bila wasiwasi na jamaa alikuwa anamtishia tu? atafanyaje mpe na plan B, ila kutafuta mwingine siyo wakati wake atulize kwanza akili ndo atapata wa kumfaa.
 
ikitokea akakubali kumpa hiyo tigo bila wasiwasi na jamaa alikuwa anamtishia tu? atafanyaje mpe na plan B, ila kutafuta mwingine siyo wakati wake atulize kwanza akili ndo atapata wa kumfaa.

Plan B ni kumla TIGO mpaka kunakucha.
 
...PENY
nimekubali post yako ila ujue kwamba hapa huwa tunachangiaga mada kutokana na hali ya hewa ya siku hiyo. Kwa mfano leo sina nauli ya kurudi home jioni unadhani nitachangia kwa busara??
tuhurumie........ ila nimekuzimikia ghafla tu bila kutumwa na mtu[/QUOTE]
Heee...asante kwa kunithimikia themeji...angalia my beiberry (balantanda) asijekukukorome. Lol!
 
mapenzi yoyote yanayo kuwa matamu saana mpaka watu mnajiona muko peke yenu duniani. au mnaweza kukaa sehemu kwa masaa 10 bado mkaona mmekaa kwa dakika 30. mapenzi ya kiwango hicho huwa hayadumu kamwe. jipe moyo.
 
Shehe ndo ilivyo hiyo.
Mtoto akililia wembe wewe mkate nao maana ukimpa anaweza kukukata wewe
 
wadau wa jf
nawashukuru sana kwa ushauri wenu , na kweli hapa ni kituo cha kupata majawabu . Pasipo na taarifa na ushauri kweli maaangamivu ni dhahiri. Kwa hilo bravo saana.
Kuhusina na mada ya “kama ungekuwa wewe ungefanyeje” nimefanya uchunguzi wangu kulingana na maoni mabalimbalai ya wana jf na nimegundua kuwa mwenzi wangu sio mwaminifu . Nimechunguza sana na kugundua kuna watu bado wanmmega na nikimwambia anakataa. Nampenda sana. Nimejaribu kivyangu kumuacha lakini inashindikana , kwani haipiti dk 5 sijamwaza , na nikimuwaza naumia sana roho yangu na nakumbuka siku niliyokutana naye ya kwanza. Naumia sana roho inaruka tu kila mara na hata tu nikisikia sauti yake . Mwishowe najiuliza au kanitendea nini huyu bibi.
Kwa hali iliyopo ya sasa mie niemechunguza afya yangu iko saafi , pamoja na kukaa naye kwa muda mrefu ya uchumba. Baada ya kugundua hayo nikimwambia akachunguze afya yake hataki anasema ataenda akipenda yeye na sio kwa kulazimishwa. Nikisikia tu sauti yake nashindwa hata kuconcetrate kitu chochote.
Je ni njia gani niiitume ili niweze kumwacha na kutokuendelea kuumia kiasi hiki?
Je katika wachangiaji kuna yeyote aliyekutana na dhoruba hii na kama yupo katika depth ipi ya mapenzi aliyokuwa nayo, na je alitumia njia gani kuweza kuondokana na hii adha?
piga chini hiyo kitu mtu wangu itakuchoresha bure. Umegundua ni kumshukuru mungu je ungeoa. Halafu anaonekana hata nidhamu kwako hana kwa majibu anayokupa unapomta mkapime. Halafu mwanangu mwanamke ukimuonyesha kumpenda kupita kiasi kuna wengine hawajui kupendwa ukimpenda anakuona **** tena.
 
Back
Top Bottom