Nimwacheje huyu mama?

Tatizo lipo kwa huyo kijana. Miaka 33 ni MTU mzima na anao uwezo wa kujisimamia. Anaonekana bado ni kijana kifikra na kimaamuzi ndio maana analia lia eti anaharibiwa.

Huyo mama anamuharibiaje kwa watu ambao hawaishi karibu wala kufanya kazi pamoja?
 
Naona akihatarisha ajira yake, unapoamua kuanzisha mahusiano Kazn na mwanamke aliyekuzidi cheo lazima ujue kuna hatari mbele! Akilazimisha atapigwa hata uhamisho aende chaka so chakufanya aendelee kumdinya tu kwa masharti! Akijaribu kwenda kwa mmewe ajue anatengeneza Bomu na akiripoti utawala wataangalia nani ana impact kazini, hapo ndio uhamisho utakapomuhusu unless awe tegemeo hapo kazini!

Sent using kidole gumba
Neno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za wakati huu wakubwa

Naileta kwenu mnisaidie nimshauri huyu kijana

Anasema yeye ni mfanyakazi mwajiriwa serikalini, ana miaka 33 mwaka mmoja uliopita alianzisha mahusiano na mwanamke mmoja mtu mzima 40yrs ambaye kicheo yeye ni mkubwa wake kazini. Baada ya kuwa nae akaja kugundua huyu mama ni mke wa mtu ana watoto 3 ila haishi na mume mumewe anaishi dodoma kikazi.

Baada ya kugundua hayo mwanaume akamwambia kama umeolewa tuishie hapa maana me nataka niwe na mtu ambaye nitakuwa na malengo naye.

Bi mkubwa akawa hataki kila jamaa akitafuta mwanamke mwingine mama yule anamwaribia jamaa anaachwa. Ikafikia wakati mama yule anamtisha kijana hadi kumuua na kwa kuwa yeye ni mkubwa kazini wakati mwingine anaanzisha visa huko kazini ili kumtisha kijana.

Kijana kapata gal mwingne keshamtambulisha kwao na wanapendana wana malengo ya kufunga ndoa ila bi mkubwa bado anamwaribia.

Kijana kaniomba ushauri je amripoti huyu mamma kwa menejiment ofisini au amtafute mume wa huyu dada amwambia ujinga anaomfanyia mkewe au aachane vipi na huyu mama. Mama kapagawa yupo radhi hata kuua ili asikose penz la huyo kijana

Ushauri wenu wakuu nitamshauri jamaa vzuri mkinipa mwongozo.
Aiumize kichwa yeye amuomba huyo mwanamke tigo basi.
 
Back
Top Bottom