Nimuoe yupi kati ya huyu mwenye degree na drs la saba. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimuoe yupi kati ya huyu mwenye degree na drs la saba.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by wiseboy, Mar 25, 2011.

 1. wiseboy

  wiseboy JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,710
  Likes Received: 1,891
  Trophy Points: 280
  hi jf members, mm ni mvulana nipo mwaka wa mwisho moja ya vyuo vikuu hapa Tz. Nilipokuwa 4m 5 na 6 nilikuwa na mchumba ambaye nilimpenda sana naye alinipenda. Nilipokuwa chuo mwaka wa kwnza akapewa udaku naye akaamua kunipotezea, basi nikamtongoza binti tuliyekuwa naye mwaka wa kwanza, japo huyu nililenga awe kuenjoy naye siku moja na kumuacha maana sikumpenda sana, ila baada ya ku do naye alinipenda ile mbaya na kuanza kuniganda kila ninapoenda. Kuona hvyo nikamtumia sms ya kumkataa pia hakusikia, nikampiga hadi kumuumiza pia hakuniacha. Ok nikaamua kuzuga naye maana nilichoka kutoa adhabu, baada ya hapo tukawa tunaishi km lovers kwa sababu yeye ananipenda sana hata hela zake ziko kwenye account yangu na tumenunua naye vitu vingi vya ndani mfn tv, kitanda, kabati, computer, nk. Pia hutumia mzazi wangu hela zake japo hajawahi kumuona. Wakati huo huo yule binti wa darasa la 7 naye aliniomba msamaha nikamsameha pia anasubiri nimuoe. Je nimuoe yupi kati ya hawa? nifaje ili roho yangu impende huyu wa chuo? plş
   
 2. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  una dhamb ndg yng! Utakuwaje na m2 ucyekuw na malengo nae? Mwogope mungu. Maamuz unayo ww mwnyewe! Epuka kumptezea m2 mda wake!
   
 3. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  muhimu ni mapenzi..shule si kitu..shule ni yakwake na mapenzi ni yako..
  :smash:
   
 4. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Wiseboy, wewe ndio unawajua hao wanawake...unapotafuta mtu wa kuishi kindoa kuna mambo mengi ya kuangalia mfano upendo wa dhati, utii, kumcha Mungu, kupenda ndugu,mvumilivu, kujishughulisha kimaendeleo, kusaidiana kimajukumu, kujali n.k.. Pia weakness zao unazijua, je utazi-accomodate?
  Kama huyo wa darasa la 7 anaweza kuendea kielimu na una mpenda inawezekana kumuoa vilevile huyo wa chuo unaemsema unaweza kumuoa. Yote haya ni maamuzi yako kwa vile unawafahamu kiundani na vizuri sana.
   
 5. z

  zamlock JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  chaguo ni lako je huyo wa darasa la saba ukimuoa utamuendeleza?
   
 6. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  naskitika kuwa jina lako haliendani na matendo yako,kama humtaki mtu ndo umpige!!kwani ungemwambia kwa ustaarabu asingekuelewa!?!naamini kati ya hao wawili una majibu ya yupi unaemuhitaji,nikipima maelezo yako std 7 unamfeel zaidi,,gudluck but u need to change uwe gentleman
   
 7. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2011
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,805
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  digrii yake si kitu, usiingie mkenge wa kufuata digrii tii kiu yako kwa unaempenda
   
 8. wiseboy

  wiseboy JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,710
  Likes Received: 1,891
  Trophy Points: 280
  asante dada kwa ushauri wako, huyu dada wa chuo ni mvumilivu sana, ni mcha mungu, anapenda ndg zangu ndo huwa anawatumia chumvi. Kwa kifupi wa drs la 7 anamzidi huyu uzuri kisura hicho pekee ndo kigezo
   
 9. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #9
  Mar 25, 2011
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Kaka, ridhika na ULIYE NAYE, anayekupenda kwa DHATI, kwani alikuvumilia hata pale ulipomwambia HUMTAKI. Ulimpiga, akakuganda. Moyo wake uko kwako. Huyo wa Darasa la Saba ni KIGEUGEU! Si alikuacha kwa sababu kasikia maneno ya watu? Sasa kakuona mtu wa maana, una wako ndani, wivu umemwingia, anataka KUKUHARIBIA! Muda wote huo hamjakuwa pamoja, hujui pengine AMEUKWAA? Ukimgusa atakuambia mwende PEKU PEKU, kumbe anataka KUKUINGIZA KWENYE GRIDI! UMEME KAKA! Ogopa!

  Ushauri wangu, huyo uliyenaye, mmesoma wote, hata ukipata tatizo, kwa mfano, ukaumia, ukapata ulemavu, ataweza kukutunza. Huyo wa Darasa la Saba ana ELIMU GANI ya kukutunza wewe? Fikiria na ya baadaye, si ya LEO tu! Umenielewa mdogo wangu?
   
 10. wiseboy

  wiseboy JF-Expert Member

  #10
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,710
  Likes Received: 1,891
  Trophy Points: 280
  hapendi kusoma, na hv sasa anafanya kazi hotelini hapo dar.
   
 11. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #11
  Mar 25, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  na ukumbuke uzur wa mke co sura ndg yng! Dunia ya leo hakn kuangalia sura coz hta kw wachna zpo zmejaa! Mwoe huyo ulye2tajia cfa zake!
   
 12. wiseboy

  wiseboy JF-Expert Member

  #12
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,710
  Likes Received: 1,891
  Trophy Points: 280
  nakupata my lvly brother. Asante.
   
 13. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #13
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
   
 14. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #14
  Mar 25, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  ushantia khasira

  we wala siyo waiz hata kidogo, hebu badili ID hukoo, mxxxxiii!
   
 15. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #15
  Mar 25, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Chagua unayempenda. Kumuoa mtu ambaye hayupo moyoni ni mateso kwako na kwake pia.
   
 16. Nemo

  Nemo JF-Expert Member

  #16
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 474
  Trophy Points: 80
   
 17. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #17
  Mar 25, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Jina na wewe tofautiiiii
   
 18. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #18
  Mar 25, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Makubwa haya... oa wote basi.
   
 19. A

  Ados Senior Member

  #19
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Huyo wa la 7 hakufai ameonyesha ubabaishaji, huyo uliyenaye ndiye mke wakweli anajali na anauvumilivu hizo ndiozo point .
   
 20. Wit

  Wit JF-Expert Member

  #20
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 417
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  u have spoken my mind
   
Loading...