Elections 2010 Nimuite Rais Kikwete au ndugu Kikwete?

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,159
4,443
Wana JF naombeni msaada mimi ni mmoja wa watu ambao sikumpigia Kura ya ndiyo xkikwete na kutokana na hila zilizofanywa na dola kuhakikisha anaendelea kupigia mswaki ikuru simtambui kama rais halali wa TZ. Nimekuwa napata taabu kutafuta kitangulizi cha jina lake sielewi nimuiteje maana kila kitangulizi nikiwekacho nahisi hakija kaa mahala pake kwa mfano;

1. Rais kikwete siyo rais wangu
2. Ndugu kikwete siyo ndugu yangu
3. Bwana Kikwete siyo bwana wangu
4. Mheshimiwa kikwete siyo muheshimiwa kwangu
5. Dr Kikwete sina uhakika kama ni daktari wa falsafa au muuguzi

Nitumie kitangulizi gani?
 
:doh:Hiyo red naunga mkono!100%
 
inategemea wewe upo upande gani
 
MC Kikwete
 
Mwite Baba Ridhiwani.
It is polite and fair!
 
Back
Top Bottom