Nimuhonge nani SUTI TANO ili anipatie ajira?

Wild fauna

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
461
189
Wakuu! Salamu. naskia ukiweza kuhonga suti tano kwa viongozi wa juu wa serikali you have greater chance to get sehemu ya kujenga hoteli ya kitalii ndani ya hifadhi ya wanyamapori mfano Ngorongoro.
Kwa mie nilikua naomba kutoa suti tano ili wanipatie ajira jamani,i'm a job seeker.
 
Baba v,nimezunguka kwenye maofisi mpaka nimechoka. mchana wa leo nimekula ugali aisee
 
5 suites is approximately equal to the initial capital to be invested to any business, so i advice you to employ yourself my friend!!!!!!!!!!!!!!!
 
Dah mimi nahitaji hela kama hiyo kufungulia banda
we unataka kumuhonga mtu ili akuajiri
dah hii kali mawazo yako mgando sana
 
hizo suti km ni za ukweli ziuze utapata mtaji wa kuanzisha biashara ya kukutoa.
 
Back
Top Bottom