nimsaidiaje?

GodfreyTajiri

JF-Expert Member
Sep 26, 2010
986
655
binti mstaarabu kanizimikia. kanieleza ukweli wa moyo wake
na kwamba anatumaini tunaweza kufunga ndoa. binti ni mrembo
wa haja na anaelekea na wife material. anasema ameniona mimi ni
mtaratibu na mstaarabu. tatizo japokuwa naonekana mtaratibu ukweli
mi ni silencer na muharibifu flani hivi. sioni tatizo kudeal na wajuvi ila
huyu binti mmh. namuonea huruma. nikimtolea nje atajisikia vibaya na nisingependa
kumpa ukweli wangu kwani kwa kufanya hivyo nitakuwa najimaliza mwenyewe.
naomba ushauri nimtolee nje vipi huyu binti bila kumuathiri kisaikologia?
 
unabahati sana kupata Binti wa namna hiyo...
umesema ni mzuri nani wife material..
kwa nini we usibadilike????
maana unaweza mwachia huyo aondoke halafu baadaye ukaja kujuta....
 
hujampenda,mwambie unataka tu kuwa marafiki...akiwa king'ang'anizi shauri lake....!
 
Usikilize moyo wako naukiridhia chumbia, lipa dowry, funga ndoa na mtie ndani. moyo ukigoma mshauri atafute mwingine coz no body becomes too late to fall in love!
 
mchunguze vizuri kama kweli anakupenda na wewe unafeel da same haina haja ya kuhangaika just tulia nae ili muishi pamoja.......................
 
naam, huenda ikawa bahati yangu, lakini masikitiko ni kwamba
imekuja mapema kabla sijaamua.

nalo hilo la kubadilika ni neno,sidhani kama
naweza badilika kwa kasi kihivyo kwani sio rahisi

nashukuru kwamba unadhani nina bahati

unabahati sana kupata Binti wa namna hiyo...
umesema ni mzuri nani wife material..
kwa nini we usibadilike????
maana unaweza mwachia huyo aondoke halafu baadaye ukaja kujuta....
 
hili la kuwa rafiki wa kawaida nahisi ataona namtolea nje
kwani lengo lake ni ndoa.

dah una maana akiwa king'ang'anizi nimjeruhi tu?

hujampenda,mwambie unataka tu kuwa marafiki...akiwa king'ang'anizi shauri lake....!
 
hilo la kuweka ndani kwa sasa ndio kikwazo.
nikimtolea nje ndio hayo ya kumpatia matatizo ya kisaikologia binti wa watu
hata hivyo asnte kwa ushauri
Usikilize moyo wako naukiridhia chumbia, lipa dowry, funga ndoa na mtie ndani. moyo ukigoma mshauri atafute mwingine coz no body becomes too late to fall in love!
 
naam, huenda ikawa bahti yangu, lakini masikitiko ni kwamba
imekuja mapema kabla sijaamua.

nalo hilo la kubadilika ni neno,sidhani kama
naweza badilika kwa kasi kihivyo kwani sio rahisi
mmmmhh haya kama hauko tayari usichue any chances usije muumiza bint wa watu bure..
sasa itabidi umtendee mema ....
mwambie ukweli jinsi unyojisikia ...
asije akaona kapata lakini kumbe kapatikana ...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom