Nimsaidiaje Kaka yangu aliyelazimishwa kumuacha mkewe na vyombo vya dini?

du ntabaki mseja milele,maana ndoa za siku hizi hazina mvuto kabisa:hatari:
Usifanye hivyo Shosti suala hapo ni kumuomba muumba asikupe fotocopy kama aliyopewa ndugu yangu huyu bali akupe mume muadilifu kama mm,tatizo ni kwamba hujakutana na mwanaume waadilifu kama mimi,ukikubali kuolewa na mtu msafi wa moyo kama mm basi lazima uifurahie ndoa yako
 
Dah!
Mwambie kaka yako asifanye chochote kibaya maana anaweza kujitia matatizoni zaidi.
Hayo ni maisha na amwachie mungu, yeye ndiye atakayetoa hukumu kwa hao watu.
Kwa sasa unatakiwa kuwa nae karibu zaidi ili kumfariji.
Sawa nitamsihi hivyo
 
Back
Top Bottom