Nimsaidiaje Kaka yangu aliyelazimishwa kumuacha mkewe na vyombo vya dini?

Siku zote nasema duniani kuna wanawake wengi kuliko sisi wanaume,mwambie asichukulie hasira la sivyo atalala jela na hatoenjoy maisha yake, kwanza akate mawasiliano na huyu mwanamke na afanye kitu kingine cha muhimu basi na sio zaidi ya hapo.....
 
Sawa nashukuru kiongozi wangu kwa kunipa Muongozo huu,nitamshauri hivyo
 
Asilazimishe ndoa, hiyo ishakuwa balaa, mfano hata huyo mm akikubali kuishi na kakako, je mtakuwa na amani? Ndoa ni amani na upendo achilia mbali pesa japo zina umuhimu maana kula lazima. Cha kufanya taliki, pigana kiume fursa bado ziko kibao, na boom utashangaa umerudi saafi na at that time unatakiwa uwe na bima ya mke.
 
Asilazimishe kumpenda mtu ambaye hampendi, ashukuru tu yawezekana kaepushwa na mengi hapo. Kama afya yake ipo salama, asijiumize kwa mawazo na presha. Atulie tu atapata nguvu na maisha yataendelea!!!
 
Dah! That is what it known as "disguise of blessing"
Inavyoonyesha jamaa hajatoa talaka na hao wazee wake wanamzinisha binti yao regardless ya hiyo nyumba waliojemgewa-Lakini kwa nini huyo kakaako alipokuwa anazichanga barabarani(traffic) hakuibadilisha hiyo nyumba ya tembe ya wakweze?
 
Washwasha mkuu mwambie mdogowako haraka sana ampe talaka huyo kahaba na asichelewe mungu kamuonyesha hazarani bado anbembeleza nini. huyo hafawaiiiiiiii namwambie asifanye kitu mbaya itakuwa ajiingiza kwenye balaa tu wala haitapoza machungu yake. zaidi yakuongeza matatizo, mungu atampa mke mungine
 
Hamna shaka nitamuambia amuandikie talaka
 
Asilazimishe ndoa, hiyo ishakuwa balaa, mfano hata huyo mm akikubali kuishi na kakako, je mtakuwa na amani? Ndoa ni amani na upendo achilia mbali pesa japo zina umuhimu maana kula lazima. Cha kufanya taliki, pigana kiume fursa bado ziko kibao, na boom utashangaa umerudi saafi na at that time unatakiwa uwe na bima ya mke.
amani haitokuwepo tena ktk hii ndoa
 
Dah! That is what it known as "disguise of blessing"
Inavyoonyesha jamaa hajatoa talaka na hao wazee wake wanamzinisha binti yao regardless ya hiyo nyumba waliojemgewa-Lakini kwa nini huyo kakaako alipokuwa anazichanga barabarani(traffic) hakuibadilisha hiyo nyumba ya tembe ya wakweze?
Huyu jamaa hakuwa na mipango mingi sana ndio maana hakufanikisha hilo
 
kama huyu ni nduguyo kweli, mshauri aandike talaka 3 na kumpatia huyo binti ili awe kamuacha kihalali na kumuwezesha kuolewa na huyo kibosile. Ndoa ni amani.furaha, upendo na masikilizano sasa kama ktk ndoa hakuna upendo na usaliti umebainika wazi ndoa hiyo tayari ni ya migogoro na mateso kwa mtendwa ambaye ni nduguyo. Ajitoe atapata mwingine asihofu, tatizo watu tunaishi kama hakuna kesho,maisha sio leo tu ndio maana kuna watu wana hadi miaka 100 duniani hivyo avumilie siku zitapita na astsahau, na tatizo hilo litakuwa ni historia kwake. kwani ni nani alimuambia bila huyo mwanamke hatoishi au hatoweza ku enjoy maisha na kufanikiwa? Huyo mwanamke na wazazi wake wanataka watu wenye uwezo na si walinzi wa kampuni za ulinzi, sasa hapo bado hajabaini? kwahiyo anang'ang'ania mwanamke anayechangia na mwanaume mwingine?tena mwanamke anamwambia wazi kuwa sikutaki(ndio maana ya kujiandikia talaka inamaanisha kaka yako ni king'ang'anizi). Yeye ajiangaishe kutafuta fedha na kujipanga upya kimaisha baada ya washika bunduki kumtosa, na kuhusu uchungu wa kuporwa mke amwachie MOLA yeye si ni muumini wa dini yake,basi dhuruma hiyo MUNGU ameiona na atamlipia hapahapa duniani
 
Dah!
Mwambie kaka yako asifanye chochote kibaya maana anaweza kujitia matatizoni zaidi.
Hayo ni maisha na amwachie mungu, yeye ndiye atakayetoa hukumu kwa hao watu.
Kwa sasa unatakiwa kuwa nae karibu zaidi ili kumfariji.
 
kama huyu ni nduguyo kweli, mshauri aandike talaka 3 na kumpatia huyo binti ili awe kamuacha kihalali na kumuwezesha kuolewa na huyo kibosile. Ndoa ni amani.furaha, upendo na masikilizano sasa kama ktk ndoa hakuna upendo na usaliti umebainika wazi ndoa hiyo tayari ni ya migogoro na mateso kwa mtendwa ambaye ni nduguyo. Ajitoe atapata mwingine asihofu, tatizo watu tunaishi kama hakuna kesho,maisha sio leo tu ndio maana kuna watu wana hadi miaka 100 duniani hivyo avumilie siku zitapita na astsahau, na tatizo hilo litakuwa ni historia kwake. kwani ni nani alimuambia bila huyo mwanamke hatoishi au hatoweza ku enjoy maisha na kufanikiwa? Huyo mwanamke na wazazi wake wanataka watu wenye uwezo na si walinzi wa kampuni za ulinzi, sasa hapo bado hajabaini? kwahiyo anang'ang'ania mwanamke anayechangia na mwanaume mwingine?tena mwanamke anamwambia wazi kuwa sikutaki(ndio maana ya kujiandikia talaka inamaanisha kaka yako ni king'ang'anizi). Yeye ajiangaishe kutafuta fedha na kujipanga upya kimaisha baada ya washika bunduki kumtosa, na kuhusu uchungu wa kuporwa mke amwachie MOLA yeye si ni muumini wa dini yake,basi dhuruma hiyo MUNGU ameiona na atamlipia hapahapa duniani
Talaka itabidi akawaachie wakweze maana jamaa kashachukua jumla teyari.pia nitamshauri asianzishe vurugu ktk hiyo ndoa ya my ex-wife wake.
 
Back
Top Bottom