Nimrudie Tena?

beste

Member
Feb 18, 2013
13
2
Habari wana MMU.Kwanza kabisa nafarijika sana kuwa mwanajukwaa hili...na huwa napata mengi sana kwa njia ya usomaji wa threads na comments...kiufupi jamii forums unifanya nismile most of the tym.
Tatizo langu kubwa linalonisibu ni upweke jaman.I had a bf lakin tukahitilafiana na kuachana kwa muda kama wa miez kumi sasa.Tatizo kubwa nnaloface...watu huwa hawaamini kuwa sina
mtu especially wakaka,mm ni mschana ninayejipenda kidogo...huwa najiweka smart kawaida na huwa najitahd sana niszdshe urembo ili tu niwe kawaida lakin imekuwa tabu.
Imefikia mahali naangalia umri nao unasogea,upweke nao unazd...marafik nao wanaanza kubanwa na majukum ya familia zao(kwa walioolewa) mpaka nafikia hatua ya kutaman kurudiana na yule kijana tulieachana!sasa najiuliza ntaanzaje?na yy ad leo c atakua na mtu?atanionaje?yaan...ata cjui nifanyeje...mapenz kwake yamebak kidogo sana....wakt mwngn najipa moyo labda nisubir tu atakuja...lakin najiuliza atakuja lin?na familia yangu ni ya kidikteta ata kutokatoka c sana...labda mchana,ebu nishaurin wana MMU
 
Mliachana kwa sababu zipi kwnz?pole sana ila wanaoamini kwny mapenzi wanasema "time cn heal everything just give time enough time" binafsi i dont trust much on break makeup relationship bc sucks alot.
 
Tafuta mwanamme akuoe kihalali hii ndio itatatua matatizo hayo ya upweke.

Boy friend sio halali yako (kufanya tendo la ndoa na boy friend ni haramu na uchafu wa wazi kabisa).

Mche Mungu wako ndio ataokusaidia na kukutoa katika upweke.

Tafuta jogoo akuoe muishi maisha ya ndoa.

Hii ndio dawa ya matatizo yako haya.
 
Ahsante kwa pole,kwakwel sababu nyng hazikua rasmi...ni vijiugomv tu vya hapa na pale,nilimuheshm sana na hakukuwa na kitu kinachoitwa cheatn in me..yy ndo aliyeniacha..but probably time will heal
 
Ahsante sana Mahmood kwa ushaur wako mzur.

Kwa kpnd chote hiki nimekua karbu sana na mungu...na imenipa courage kubwa sana...ila ntajitahd kuendelea kusali...naamin mungu atajibu.
 
Pole mwaya,hakuna kitu kigumu kama kuachana maana mi mwenyewe ninapita njia hio.japokuwa mi mwanaume nimeachwa na kuachwa bila ya ridhaa lazima kwa vyovyote utakuwa kwenye wakati mgumu.utashauriwa vumilia,sijui hakuwa wako, sijui muombe Mungu,sijui tulia lakini asikudanganye mtu upweke unauma ingelikuwa ni ugonjwa ungemeza dawa ya kutuliza hata maumivu.lakin ukifiri nimeachwa,nitapata wapi mwingine,na atakuwa kama yule nilie mzoea,na huyo mtu atakuwa nanisubiria mimi? Hapo ndipo tumain linabaki kwa Mungu maana atakaevumili kila hali itakayo mjia bila ya kuchoka ndie mshindi.vumilia, jipe moyo kumbuka maji yakimwagika hayazoleki.piga magoti hakuna linaloshindikana kwa Mungu kwa imani.
 
Ahsante kwa pole,kwakwel sababu nyng hazikua rasmi...ni vijiugomv tu vya hapa na pale,nilimuheshm sana na hakukuwa na kitu kinachoitwa cheatn in me..yy ndo aliyeniacha..but probably time will heal

Km alikuacha kwny ground izo na ni muaminifu just belive u can turn back the years...if u blv there's small part of ya heart still luvs him just go 4 it ni ngumu ila fuata steps za ku-repair
1:jiridhishe kwnz km yuko single...akiwa single ni rahisi just rudisha mawasiliano ya kawaida zen mkumbushe zile nice memories u did share..,ila akiwa kwny uhusiano just dig out if he's happy 4 nxt step...cwezi funguka zaidi bc situation yako iko mwnzn sn so na-skip v2 vingine
2:When cumz a woman hakuna hero ni mbwe2 zetu so treat him like a lil' boi pale akikupa nafac m sure unajua evry one has breakn' point take that km ngao mfanye uwe hangova yake km mwnz mchokoze zen make him miss u smtymz
Duh just follow ya heart dada angu go for it that's ol i cn say...again i dont trust much on breakup makeup hasa if its one side bora wote mnatake ku-repair uhusiano wenu.
 
Duh, mapenzi kizungumkuti,hasa unapokuwa unafikiria kuwa muda unaenda na uzee unakukaribia. Bora sie wanaume unaweza kwenda bar ukapiga stori na baamed aafu ukasepa. Nyie wenzetu duh! Hiyo ya kumrudia jamaa inahitaji uwe makini sana kwani anaweza akakuumiza zaidi na akasepa tena. Vipi, huko kanisani hujawapata? Kama vipi weka tangazo tujimwage! Teh!
 
Habari wana MMU.Kwanza kabisa nafarijika sana kuwa mwanajukwaa hili...na huwa napata mengi sana kwa njia ya usomaji wa threads na comments...kiufupi jamii forums unifanya nismile most of the tym.
Tatizo langu kubwa linalonisibu ni upweke jaman.I had a bf lakin tukahitilafiana na kuachana kwa muda kama wa miez kumi sasa.Tatizo kubwa nnaloface...watu huwa hawaamini kuwa sina
mtu especially wakaka,mm ni mschana ninayejipenda kidogo...huwa najiweka smart kawaida na huwa najitahd sana niszdshe urembo ili tu niwe kawaida lakin imekuwa tabu.
Imefikia mahali naangalia umri nao unasogea,upweke nao unazd...marafik nao wanaanza kubanwa na majukum ya familia zao(kwa walioolewa) mpaka nafikia hatua ya kutaman kurudiana na yule kijana tulieachana!sasa najiuliza ntaanzaje?na yy ad leo c atakua na mtu?atanionaje?yaan...ata cjui nifanyeje...mapenz kwake yamebak kidogo sana....wakt mwngn najipa moyo labda nisubir tu atakuja...lakin najiuliza atakuja lin?na familia yangu ni ya kidikteta ata kutokatoka c sana...labda mchana,ebu nishaurin wana MMU

usisubir dada angu, kama unayo mawasiliano yake ama namba za simu mtumie hata sms ya kumsalimia na kumjulisha umemkumbuka, maana mchumba mzur ni yule unaefahamiana nae kiukaribu kama vile kikazi ama kishule hata kiujirani.
 
Sasa kama mapenzi kwake yamebaki kidogo kwanini umrudie!? Si ndio mwanzo wa kujitafutia manyanyaso kisha urudi hapa kulalama!?

Habari wana MMU.Kwanza kabisa nafarijika sana kuwa mwanajukwaa hili...na huwa napata mengi sana kwa njia ya usomaji wa threads na comments...kiufupi jamii forums unifanya nismile most of the tym.
Tatizo langu kubwa linalonisibu ni upweke jaman.I had a bf lakin tukahitilafiana na kuachana kwa muda kama wa miez kumi sasa.Tatizo kubwa nnaloface...watu huwa hawaamini kuwa sina
mtu especially wakaka,mm ni mschana ninayejipenda kidogo...huwa najiweka smart kawaida na huwa najitahd sana niszdshe urembo ili tu niwe kawaida lakin imekuwa tabu.
Imefikia mahali naangalia umri nao unasogea,upweke nao unazd...marafik nao wanaanza kubanwa na majukum ya familia zao(kwa walioolewa) mpaka nafikia hatua ya kutaman kurudiana na yule kijana tulieachana!sasa najiuliza ntaanzaje?na yy ad leo c atakua na mtu?atanionaje?yaan...ata cjui nifanyeje...mapenz kwake yamebak kidogo sana....wakt mwngn najipa moyo labda nisubir tu atakuja...lakin najiuliza atakuja lin?na familia yangu ni ya kidikteta ata kutokatoka c sana...labda mchana,ebu nishaurin wana MMU
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom