Nimrod Mkono vs Serikali

muonamambo

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
875
545
"Mimi nakudai shilingi 12 ila nimenyamaza kimya nikitegemea unajipanga kunilipa. Lakini wewe unanidai shilingi 1 bila kunipa taarifa unakimbilia kutoboa masufulia yangu kwa misumari ili nisipike!!"

Nimrod Mkono vs Serikali(TRA).

Acha Picha lisonge!!.P
 
Mimi nakudai shilingi 12 ila nimenyamaza kimya nikitegemea unajipanga kunilipa. Lakini wewe unanidai shilingi 1 bila kunipa taarifa unakimbilia kutoboa masufulia yangu kwa misumari ili nisipike!!.

Nimrod Mkono vs Serikali(TRA).

Acha Picha lisonge!!.P

Hizo pesa anaidai TRA au serikali? Serikali na TRA ni vitu viwili tofauti.Ukitakiwa ulipe kodi na TRA huwezi kusema nina malipo yangu nilijenga barabara serikali haijanilipa!!
 
Theoretically ni sawa but logically and practically si sawa hasa kwa wenye mitaji midogo ya kuunga unga .... serikali itoe kazi ikiwa na uhakika wa pesa na sio kutoa kazi ikitegemea wafadhili nao wakiingia mtini basi wanao tekeleza hizo kazi wanaumia.... awamu ya 4 imeumiza wengi sana kwa utaratibu huu hasa wa mfano ulio utolea wa ujenzi....
 
Hizo pesa anaidai TRA au serikali? Serikali na TRA ni vitu viwili tofauti.Ukitakiwa ulipe kodi na TRA huwezi kusema nina malipo yangu nilijenga barabara serikali haijanilipa!!
TRA ni waviziaji miaka yote unapeleka mahessabu wanakutazama tu kisha hao wanakurupuka na kukuletea kodi ya ajabu...Sasa mkono anawaambia anaidai serikali yao Shs 12 na amekaa kimya wao wanadai shs 1 wanatoboa sufuria ...wapi na wapi ...Wahimize serikali ilipe kwanza madeni yake kisha wawe na ubavu wa kuja kudai kodi yao
 
Taratibu za kihasibu zinakinzana kimantiki.
Reflection ya figure ya huyo mdeni ipo kwenye balance sheet na cash flow ya huyo mlipa kodi na yet ana oparate business kwa faida!
Hakuna namna lazima ulipe kodi kwa mamlaka ya mapato.
Alipe kodi then akomae na huyo bad debtor(Govt)
 
Wahimize serikali ilipe kwanza madeni yake kisha wawe na ubavu wa kuja kudai kodi yao

Kwani umeambiwa kazi ya TRA ni sawa na ya Majembe Auction Mart Kukusanya madeni kwa niaba ya wateja? Kazi ya TRA ni kukusanya kodi sio kampuni ya udalali
 
Mimi nakudai shilingi 12 ila nimenyamaza kimya nikitegemea unajipanga kunilipa. Lakini wewe unanidai shilingi 1 bila kunipa taarifa unakimbilia kutoboa masufulia yangu kwa misumari ili nisipike!!.

Nimrod Mkono vs Serikali(TRA).

Acha Picha lisonge!!.P

Accounts Separation....
 
TRA ni waviziaji miaka yote unapeleka mahessabu wanakutazama tu kisha hao wanakurupuka na kukuletea kodi ya ajabu...Sasa mkono anawaambia anaidai serikali yao Shs 12 na amekaa kimya wao wanadai shs 1 wanatoboa sufuria ...wapi na wapi ...Wahimize serikali ilipe kwanza madeni yake kisha wawe na ubavu wa kuja kudai kodi yao

Kutolipa kodi ni jinai na huyo Mkono kama Mwanasheria anafahamu hilo. Alipe kodi zote pamoja na adhabu ili madai yake yashughulikiwe baada ya kuhakikiwa upya kikamilifu. Awamu iliyopita haikuwa makini katika hilo.
 
Ni kweli kabisa has a ukizingatia kuwa Serikali kukaidi kulipa Deni LA mwananchi kwa zaidi ya miaka 5 sio Jinai......Kunya anye bata akinya kuku....Ni vyema Serikali ikaacha visingizio vya awamu iliyopita aikuwa makini...Deni ni Deni linatakiwa kulipwa ...
 
Kodi lazima ilipwe...na hayo madeni yatahakikiwa kama yana ukweli na kuakisi kazi iliyofanywa....mwisho wa kuifanya serikali shamba la bi bi kwa kushirikiana na watumishi ambao si waaminifu.....
 
Hivi Mzee Mkono ameshindwa kweli kulipa hako ka bilioni moja tu? Basi wananchi wa Musoma wamchangie mzee wetu maana ni mengi mazuri aliwatendea watu wa Musoma enzi zake za ukwasi.
 
Taratibu za kihasibu zinakinzana kimantiki.
Reflection ya figure ya huyo mdeni ipo kwenye balance sheet na cash flow ya huyo mlipa kodi na yet ana oparate business kwa faida!
Hakuna namna lazima ulipe kodi kwa mamlaka ya mapato.
Alipe kodi then akomae na huyo bad debtor(Govt)

What makes you conclude that Govt is a bad debtor??
 
Back
Top Bottom