Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,719
- 1,440
Mara chache sana hoja nzito za kuitikisa serikali zinapoibuliwa bungeni inakuwa si rahisi kumjua Kinara wa mchezo mzima.
Kama mnakumbuka walikuwa vinara wachache sana wenye nguvu za kusimamia hoja zao mmojawapo alikuwa Mzindakaya aliyenyanyuka na mawaziri kadhaa enzi zile akiwemo IDD SIMBA(Jamaa alikuwa mbabe na maneno ya kejeli -kwa sasa jumlisha Warema, Muhongo na Lukuvi ndio utampata Idd Simba wa enzi zile).
Vyanzo vyangu vya habari vimenielekeza kuwa nguli huyu wa sheria na mbunge huko kanda ya ziwa ndiye aliyekusanya nyaraka zote na kumpeleka mbele kijana David Kafulila huku yeye akiwa kama hayupo.
Mchezo huu kwa wanaodhani kuna atakayepona ni ngumu sana kwani nyaraka zote zilikusanywa ndipo vijana wakapewa ruhusa ya kwenda mbele kwa baraka za Muzee.