Nimpende nani kati ya Madame B na Nasema

Chimbuvu

JF-Expert Member
Jul 17, 2012
4,401
2,333
Nilikuaga na mupenzi akanizingua,na leo nataka Madame B nimuenzi,isije siku,miezi nae akanisumbua,
naogopa sana vichanga kama Nasema wasije wakanitenda nikazama na huku nina mapenzi ya ukweli.
Wazuri ni wengi ila kuwapata wenye mapenzi ya ukweli kama Madame B ndio balaa,wengi wajanja watoto wa mjini kama cacico wamejaa utapeli na tamaa za pesa kama Mirhea.
Yasiwe kama ya Mamndenyi kila siku mlimani city,usimtake ka Nasema nimteme ana hasira,mpole kama charminglady ila sauti ka darling Madame B akiwa analia kicheko kama cha asali ya moyo wangu Madame B,
baby Madame B ur my number one,uliniomba niconfess hadharani kuwa wewe ni zaidi nami nimefanya hivyo.baby ur my number one.
 
Last edited by a moderator:
Alianza Ruttashobolwa akalia, akaja Chilli akalia, tedo kawa mjanja kagundua kuwa kina cha maji hakipimwi kwa miguu yote, sasa umeingia wewe Chimbuvu all the best. but remember that is the girl your father warned you about..!!!

afu Baba V,
unajua wewe ndo mchawi wangu.
Sasa hayo yaliyopita umakumbushia ili iwe vipi?
Na akijaribu kunimwaga ni lazima unipe hifadhi.....!!!
Utake usitake.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahah Baba V waswahili husema kila shetani na mmbuyu wake,simaanishi Madame B ni shetani bali naexplain kuwa hao hawakuwa fit or the rightmen for her,she deserves to be adored,to be luvd,thats it pa


Alianza Ruttashobolwa akalia, akaja Chilli akalia, tedo kawa mjanja kagundua kuwa kina cha maji hakipimwi kwa miguu yote, sasa umeingia wewe Chimbuvu all the best. but remember that is the girl your father warned you about..!!!
 
Last edited by a moderator:
Madame B, nakupitia basi tukaangalia viatu na costume za kuogelea kwa mange. Muambie shem afanye walau kakiatu ka laki 3. Mjini kulindana. Afuvatume na wese kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom