Nimpeleke wapi mpenzi X Mas Eve?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,728
155,399
Jamani wapi wanachoma nyama choma nimpeleke shemeji a.k.a wifi yenu?
Wawe wanajua kuchoma nyama. Mimi na chombo changu ni ma canivorous tunakula nyama zozOte ili mradi zochomwe vizuri
 
001.jpg

Eneo la kupata moja baridi na moja moto, Nyama choma, Supu aina zote, vyakula vya kila aina, Chips na burudani ya muziki unaokurudisha enzi zile za kina naniliu. unaweza kupata kutoka eneo hili.IPO eneo la Kinondoni Biafra Block 41.
CC: Bujibuji
 
Jamani wapi wanachoma nyama choma nimpeleke shemeji a.k.a wifi yenu?
Wawe wanajua kuchoma nyama. Mimi na chombo changu ni ma canivorous tunakula nyama zozOte ili mradi zochomwe vizuri

Mpeleke jikoni...
 
Bujibuji hebu taja lokesheni yako, ai mini mkoa uliopo...
 
Mpeleke kwa mama yako mzazi. Ukifika ununue mbuzi uchinje. Nyama mpe mupenzi nusu yake ampikie mamako kama shukrani kwa kukuzaa na kukutunza. Nusu uichome na wewe umpe mamako kama shukrani kwake. Mtajienjoy sana.

Well said. Nasikia ukichoma nyama bila kuvaa chupss nyama inakuwa tamu sana na kila mtu huifurahia
 
Yani Bujibuji ndo unakumbuka leo..si ungempeleka kwenye lile tamasha la nyama choma hapo viwanja vya posta..au subilia tamasha likija umpeleke uko..
 
Last edited by a moderator:
basi tulia tu getto.nunua nyama yako mpe mpenzio achome a.k.a akaange mle mtulie...
 
Mpeleke kwa mama yako mzazi. Ukifika ununue mbuzi uchinje. Nyama mpe mupenzi nusu yake ampikie mamako kama shukrani kwa kukuzaa na kukutunza. Nusu uichome na wewe umpe mamako kama shukrani kwake. Mtajienjoy sana.

Una akili sana wewe....
 
Well said. Nasikia ukichoma nyama bila kuvaa chupss nyama inakuwa tamu sana na kila mtu huifurahia

Kama naniliu yako haistuki ovyo unaweza usivae chupss. Ila paw akiwa anachoma nyama akaniona napita na tray yenye sahani na bakuli za supu anapata shida sana. Try a woman who cooks kama farkhina afu uone how sexy she can be.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaa nyama choma tu ndo yaweza kukupandisha midadi siyo. Nenda kimara kila house wanachoma mbuzi katoliki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom