Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,472
Karibu chillers hapa kuna bia za kumwaga...!Ndio akina nani?
Karibu chillers hapa kuna bia za kumwaga...!Ndio akina nani?
Huyo jamaa ameshalewa mpk sasa msamehe kwa niaba tu...anapga mitapu tapu balaaSawa Mkuu.
10% inatosha Mkuu.Kuna jamaa amenipa dili la kiasi cha milioni moja, sasa ninataka kumpa pesa kidogo kama asante ili siku nyingine ikitokea tena dili anikumbuke. nimpe kiasi gani?
Ok!!, Ndio maana hajaona km ametukana.Huyo jamaa ameshalewa mpk sasa msamehe kwa niaba tu...anapga mitapu tapu balaa
Mjini kua Sasa hivi unauwezo wa kununua kvant mwenyeweMm kuna mzee huku kijijin kwet nilimpa deal za kuchomelea gril za dirisha na milngo almost kama 1.2m
Baada ya kazi akaninunulia k+ vant ndogo fresh tu
Ila mpaka leo ananiuliza mbona simpelekeagi kazi tena?
Mpe laki 1 tu sio mbayaKuna jamaa amenipa dili la kiasi cha milioni moja, sasa ninataka kumpa pesa kidogo kama asante ili siku nyingine ikitokea tena dili anikumbuke. nimpe kiasi gani?
Amlipe tu.🤣🤣🤣 Kama VAT?
HahahaaaaaMkuu usinisahau mimi ambae nimekuombea kwa Mungu upate hilo dili😆
Probably na hali yakoKuna jamaa amenipa dili la kiasi cha milioni moja, sasa ninataka kumpa pesa kidogo kama asante ili siku nyingine ikitokea tena dili anikumbuke. nimpe kiasi gani?
😅 😅 😅 😅 😅Mm kuna mzee huku kijijin kwet nilimpa deal za kuchomelea gril za dirisha na milngo almost kama 1.2m
Baada ya kazi akaninunulia k+ vant ndogo fresh tu
Ila mpaka leo ananiuliza mbona simpelekeagi kazi tena?
kuchoshana tu hukoooUsimpe ela. Mwalike chakula cha usiku sehemu tulivu yeye pamoja na familia yake na ww pia kama una familia unaweza enda nayo then baadae ( baada ya kuliza kupat chakula) muite pembeni umshukuru kwa maneno tu.