Nimpe kiasi gani kama shukrani?

Mpe 70, ni shukurani labda kama hesabu zinaruhusu umpe laki.

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Usimpe ela. Mwalike chakula cha usiku sehemu tulivu yeye pamoja na familia yake na ww pia kama una familia unaweza enda nayo then baadae ( baada ya kuliza kupat chakula) muite pembeni umshukuru kwa maneno tu.
 
Nafkri litachukuliwa kivingine...lakni fatilia uzi huu wapo watu watakupa ushauri mzuri na utajifunza kitu. binafsi 5% itatosha nayo itategemea na namna mlivyopeana kazi.
 
Mm kuna mzee huku kijijin kwet nilimpa deal za kuchomelea gril za dirisha na milngo almost kama 1.2m

Baada ya kazi akaninunulia k+ vant ndogo fresh tu

Ila mpaka leo ananiuliza mbona simpelekeagi kazi tena?
Mjini kua Sasa hivi unauwezo wa kununua kvant mwenyewe
 
Mm kuna mzee huku kijijin kwet nilimpa deal za kuchomelea gril za dirisha na milngo almost kama 1.2m

Baada ya kazi akaninunulia k+ vant ndogo fresh tu

Ila mpaka leo ananiuliza mbona simpelekeagi kazi tena?
😅 😅 😅 😅 😅
 
Usimpe ela. Mwalike chakula cha usiku sehemu tulivu yeye pamoja na familia yake na ww pia kama una familia unaweza enda nayo then baadae ( baada ya kuliza kupat chakula) muite pembeni umshukuru kwa maneno tu.
kuchoshana tu hukooo
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom