Nimpe kiasi gani kama shukrani?

Mm kuna mzee huku kijijin kwet nilimpa deal za kuchomelea gril za dirisha na milngo almost kama 1.2m

Baada ya kazi akaninunulia k+ vant ndogo fresh tu

Ila mpaka leo ananiuliza mbona simpelekeagi kazi tena?
Wewe unahisia alipata faida kiasi gani? Hili jambo liliwahi nitokea nilikuwa na workshop ya aluminum na pvc, client anakuja naleta nusu ya ela labda kazi milion 3 analipa mls 2 halafu anahisi milioni yote iliyobaki ni faida.
Ikitokea ukafunga zile dirisha pasipo kumaliza basi atakuzungusha mpaka ujute kwakuwa anaona unapata faida kubwa kumbe siyo kweli.
 
Kaka habari yako.
Mimi hapa nina hitaji mkopo wa milioni 2 unalipwa kwa miezi 4-6 , hii itanifanikisha dili la maisha yangu na pia kuna zawadi atayefanikisha Hilo.
Mimi ni mkazi wa mbezi , na muhitimu wa Diploma ya finance ifm .
Naomba ushirikiano wenu ndugu na kamaa
 
1m even 100m unatoa hisani ya nini?
"Bosi hapewi hata Mia kwa namna yoyote we mwonyeshe bado Ni mnyonge balaa"
hawa ndio wale pesa kidogo tayari wanaza kujenga pembeni ya nyumba ya mkuu wa kazi
Ni ngumu sana watu aina hiyo kuwa na plan B yaan hawawazi Jambo la Mana na ndani ya taasisi tunawaita wanafiki walamba viatu na umbea
 
Back
Top Bottom