🤣🤣🤣 Kama VAT?
Wewe unahisia alipata faida kiasi gani? Hili jambo liliwahi nitokea nilikuwa na workshop ya aluminum na pvc, client anakuja naleta nusu ya ela labda kazi milion 3 analipa mls 2 halafu anahisi milioni yote iliyobaki ni faida.Mm kuna mzee huku kijijin kwet nilimpa deal za kuchomelea gril za dirisha na milngo almost kama 1.2m
Baada ya kazi akaninunulia k+ vant ndogo fresh tu
Ila mpaka leo ananiuliza mbona simpelekeagi kazi tena?
Zingatia huu ushauri mkuuDeal ya million moja? Toa gharama za hio deal, toa uchakavu, toa risks, then kinachobakia ndio faida yako, mpe 5-10% ya hio faida usiwe mpumbavu, shenzi kabisa
Atakuwa mwalimu huyoUsimpe hata Mia mkuu
Huko ni kujikomba
Duh!!!,Hivi Kwanini Wabongo kadiri siku zinavyozidi kwenda tunakuwa wavivu Sana wa kuwaza ??!, yaani Hilo nalo unataka hadi JF tukushauri?. Naona km tunashusha hadhi ya JFKuna jamaa amenipa dili la kiasi cha milioni moja, sasa ninataka kumpa pesa kidogo kama asante ili siku nyingine ikitokea tena dili anikumbuke. nimpe kiasi gani?
Matusi ya Nini tena Mkuu??.Deal ya million moja? Toa gharama za hio deal, toa uchakavu, toa risks, then kinachobakia ndio faida yako, mpe 5-10% ya hio faida usiwe mpumbavu, shenzi kabisa
Poa mkuuZingatia huu ushauri mkuu
1m even 100m unatoa hisani ya nini?Atakuwa mwalimu huyo
Na mostly ni mamenDuh!!!,Hivi Kwanini Wabongo kadiri siku zinavyozidi kwenda tunakuwa wavivu Sana wa kuwaza ??!, yaani Hilo nalo unataka hadi JF tukushauri?. Naona km tunashusha hadhi ya JF
Soma vizuri, ni sofa sio tusi! Chukulia positive MpwaMatusi ya Nini tena Mkuu??.
Ndio akina nani?Na mostly ni mamen
Offcourse, itabidi tukae kikao Cha dharura.Na mostly ni mamen
Sawa Mkuu.Soma vizuri, ni sofa sio tusi! Chukulia positive Mpwa
Ni ngumu sana watu aina hiyo kuwa na plan B yaan hawawazi Jambo la Mana na ndani ya taasisi tunawaita wanafiki walamba viatu na umbea1m even 100m unatoa hisani ya nini?
"Bosi hapewi hata Mia kwa namna yoyote we mwonyeshe bado Ni mnyonge balaa"
hawa ndio wale pesa kidogo tayari wanaza kujenga pembeni ya nyumba ya mkuu wa kazi