KazinjaTwo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2021
- 330
- 333
Kuna jamaa amenipa dili la kiasi cha milioni moja, sasa ninataka kumpa pesa kidogo kama asante ili siku nyingine ikitokea tena dili anikumbuke. nimpe kiasi gani?
Mpe 10%Kuna jamaa amenipa dili la kiasi cha milioni moja, sasa ninataka kumpa pesa kidogo kama asante ili siku nyingine ikitokea tena dili anikumbuke. nipe bei gani?
Sihitaji kwa sasaBro kwenye Hilo dili
hauhitaji vibarua au na ww ni kibarua
Mkuu umeruka comments zote zenye mzizi wa siredi yako, umeenda kujibu mada isiyohusika. #shameSihitaji kwa sasa
Kwanini umefunga pm?Kuna jamaa amenipa dili la kiasi cha milioni moja, sasa ninataka kumpa pesa kidogo kama asante ili siku nyingine ikitokea tena dili anikumbuke. nimpe kiasi gani?
UmefokaDeal ya million moja? Toa gharama za hio deal, toa uchakavu, toa risks, then kinachobakia ndio faida yako, mpe 5-10% ya hio faida usiwe mpumbavu, shenzi kabisa
Mfanyie shopping ya 50 ya vyakulaKuna jamaa amenipa dili la kiasi cha milioni moja, sasa ninataka kumpa pesa kidogo kama asante ili siku nyingine ikitokea tena dili anikumbuke. nimpe kiasi gani?
Mpe laki 1 hyo ni sadaka.Kuna jamaa amenipa dili la kiasi cha milioni moja, sasa ninataka kumpa pesa kidogo kama asante ili siku nyingine ikitokea tena dili anikumbuke. nimpe kiasi gani?
Mm kuna mzee huku kijijin kwet nilimpa deal za kuchomelea gril za dirisha na milngo almost kama 1.2m
Baada ya kazi akaninunulia k+ vant ndogo fresh tu
Ila mpaka leo ananiuliza mbona simpelekeagi kazi tena?
PoaMpe 10%