Nimlipie au nikaushe

Candela

JF-Expert Member
Aug 12, 2021
464
1,190
Za moniee wana jamvi,

Ebana imekaa hivi, nina demu wangu anaishi kwao. Maza ake kama anakunja hivi. Sasa huyu demu ana kimgahawa, mtaji nilimpa ila mama ake hajui. Mama ake amekopa vikoba na wanataka kumfilisi.

Demu ameniomba kama nimsaidie nikamwambia angekuwa anadaiwa yeye sawa lakini sio mtu mwingine. Kamwambia mama ake amepata pesa lakini anatakiwa tuonane, sasa nimekutanishwa nae kanichangamkia balaa. pesa ninayo lakini nikikumbuka dharau alizonifanyia pamoja na kuniambia sina hadhi kuoa mwanae roho inaniambia niache kujipendekeza.

Kwenu wadau, hali kama hii mnaimuduje?
 
Wewe msaidie tu kutoa n moyo s utajiri, kama unamalengo na huyo binti bas msaidie tu maana ukimsaidia mama yake n sawa na kumsaidia binti
 
Shigha mvurundu!!! Kama unampenda binti na binti anakupenda msaidie kwa ajili ya bint sio kwa ajili ya mamaake pia ukimsaidia atajifunza kuwa usimdharau usie mjua Kama binti ana msimamo kwako fanya hisan ila usiwazie kulipwa jema kutoka kwa mama.

Wewe mwangalie mpenzi wako maana tabia Ni ngozi ila mama akiwa mtu mwerevu atajifunza kitu na atakuheshimu Sana
 
Za moniee wana jamvi,

Ebana imekaa hivi, nina demu wangu anaishi kwao. Maza ake kama anakunja hivi. Sasa huyu demu ana kimgahawa, mtaji nilimpa ila mama ake hajui. Mama ake amekopa vikoba na wanataka
We saidia kama unasaidia maskin wengine
 
Line ya pili kutoka mwisho inaonesha wazi kabisa kwamba maamuzi unayo wewe mwenyewe
 
Usitafute sifa ukweni, wanakuchora tu…. ushasema unadharaulika usisahau huko kujichekesha ni hiyo vikoba tu.
 
Za moniee wana jamvi,

Ebana imekaa hivi, nina demu wangu anaishi kwao. Maza ake kama anakunja hivi. Sasa huyu demu ana kimgahawa, mtaji nilimpa ila mama ake hajui. Mama ake amekopa vikoba na wanataka kumfilisi.
BE SERIOUS WITH MONEY MY FRIEND.

PESA IMEKUFANYA UDHARAULIKE, LEO IMEKUFANYA UCHANGAMKIWE.

HAPO SI WEWE, NI NGUVU YA MUAMALA.

huyo mama mwambie akuozeshe mwanae na hio hela ndio mahari!

msainishane ili huko mbeleni usije ukaaibika.
 
Yani hadi hapo hujajua tu kuwa unatumika kwaajili tu una pesa ya kuwasaidia haujajiuliza je siku ukiwa hauna hela atakufanya nn huyo maza? Mamb mengne ni ya kujiongeza tu
 
Ukipenda ua penda na boga lake. Grow up and be mature . You don't need to wash your dirty linen in public.
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom