Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 467
- 1,200
Za moniee wana jamvi,
Ebana imekaa hivi, nina demu wangu anaishi kwao. Maza ake kama anakunja hivi. Sasa huyu demu ana kimgahawa, mtaji nilimpa ila mama ake hajui. Mama ake amekopa vikoba na wanataka kumfilisi.
Demu ameniomba kama nimsaidie nikamwambia angekuwa anadaiwa yeye sawa lakini sio mtu mwingine. Kamwambia mama ake amepata pesa lakini anatakiwa tuonane, sasa nimekutanishwa nae kanichangamkia balaa. pesa ninayo lakini nikikumbuka dharau alizonifanyia pamoja na kuniambia sina hadhi kuoa mwanae roho inaniambia niache kujipendekeza.
Kwenu wadau, hali kama hii mnaimuduje?