Nimgharimie mpenzi wangu kwa kiwango gani wakati huu wa sikukuu?

Igwamanoni

Member
Apr 21, 2010
25
0
Wana JF naomba tusaidiane mawazo hapa:

Huu ni msimu wa sikukuu ambapo wengi wanapenda kutoa zawadi za aina mbalimbali kwa wenza wao. Tukiweka roho za uchoyo pembeni, kila mmoja atajitoa kwa mwenzake kulingana na uwezo wake. Ninachojiuliza mimi ni kama kuna kiwango cha pesa kinachofaa kwa mtu kutumia kwa ajili ya mwenza wake katika masuala ya zawadi na mambo yote yanayoendana na msimu huu? Na je, kuna vigezo vyovyote vinavyoweza kutumika katika kuamua how much to spend on your sweet heart?
 
Unajitafutia balaa wewe hebu nendeni kanisani halafu mrudi nyumbani msikilize nyimbo za dini za kina bahati bukuku, rose muhando na wengine siku inakwisha yanini kujitia hasara???
 
Back
Top Bottom