Nimezodolewa na manesi

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,427
154,271
Mke wangu mpenzi, nimemtoa kijijini.
Nimemuoa akiwa na bikira yake, hapo mwaka juzi mwishoni.
Mwaka huu Mungu akatusaidia, akabeba ujauzito.
usiku wa kuamkia leo kajifungua katoto kazuri ka kike.
Nilipoenda kumsalimia, nikapokelewa na manesi wenye hasira, wamenitukana sana na kunidhalilisha eti mi nimemuharibu mke wangu kwa kumwendea kinyume na maumbile.
Kwa kweli sijawahi kumfanya hivyo hata mara moja, na wala sina tabia hiyo.
Je nimfanye nini huyu mama watoto wangu?
 
hao ma nurse wasijifanye wanajua sana wakakalia watu ushuhuda bila ya kufanya vipimo.

sishangai kuwa wamekurupuka tu kwa kuwa wameona 'dalili' kama za hao wengine.

hatuna uhakika na watoto tunaopewa huko hospitali kuwa ni wetu kweli kwa uzembe uliokithiri, itakuwa kauli tu za ma nurse!
 
Waifu wako alikuwa anachakachua ndoa yako huku akidhani siri haitofichuka.
Ona sasa kashikwa kilaini kama li kuku la kisasa lililolowana
 
Ukiona ivyo nao wanagawa!
Kwani ulitibiwa bure kama ulilipa ela wachape mwendo.
Kwa sasa msamehe dogo akija kua ndo umuulize
 
ma nurse wa bongo wazushi bujibuji jua hilo.

usije ukakaa na roho nyongo bure kumbe mkeo wala hajafanya baya.
 
usiamini sana maneno ya hao manesi
huyo ni keo na wewe ndiye unamjua vizuri kuliko wao
wana uhakika gani na hayo wanayoyasema?wamempimaje?
 
Mke wangu mpenzi, nimemtoa kijijini.
Nimemuoa akiwa na bikira yake, hapo mwaka juzi mwishoni.
Mwaka huu Mungu akatusaidia, akabeba ujauzito.
usiku wa kuamkia leo kajifungua katoto kazuri ka kike.
Nilipoenda kumsalimia, nikapokelewa na manesi wenye hasira, wamenitukana sana na kunidhalilisha eti mi nimemuharibu mke wangu kwa kumwendea kinyume na maumbile.
Kwa kweli sijawahi kumfanya hivyo hata mara moja, na wala sina tabia hiyo.
Je nimfanye nini huyu mama watoto wangu?

Wanajishaua hao manesi na wamekariri maneno. kama humfanyi mkeo tulia mkuu.
Hakikisheni mtoto ni wa kwenu, manesi wanaweza kuwa wamkuchanganya na maneno pia kubadilisha mtoto
 
:doh:Umenikumbusha tabia ya wapemba!!!Kama nimpemba au asili ya kiarabu usishangae kwani nilazima akutwe na bikra hivyo hakukosea ni mila nadesturi yao wewe endeleza shamba pale ulipolikuta lasivyo aliyelianzisha ataendelea kulilima kama wewe hutaki kulipalilia!!jifunze kutokana na makosa!!:smile-big:
 
Pole sana Bujibuji.
Whichever way msamehe, ila ni vizuri ukajua kwanini na lini alifanya hivyo ili uweze kujua kama alikua anafanya zamani ama la lakini ukimwendea na mihasira yako hupati data hata moja. Labda ndiyo ilikuwa ktk jitihada za kukutunzia bikira ukioa uikute (ni mwarabu au mtu wa Tanga?). Ni kama ambavyo wewe ulikua ukichakachua ila huna kipimo cha bikira. Its bad and frustrating, piga moyo konde mpokee mwanao mzuri, mpe jina la Malaika.
 
Mke wangu mpenzi, nimemtoa kijijini.
Nimemuoa akiwa na bikira yake, hapo mwaka juzi mwishoni.
Mwaka huu Mungu akatusaidia, akabeba ujauzito.
usiku wa kuamkia leo kajifungua katoto kazuri ka kike.
Nilipoenda kumsalimia, nikapokelewa na manesi wenye hasira, wamenitukana sana na kunidhalilisha eti mi nimemuharibu mke wangu kwa kumwendea kinyume na maumbile.
Kwa kweli sijawahi kumfanya hivyo hata mara moja, na wala sina tabia hiyo.
Je nimfanye nini huyu mama watoto wangu?

Bujibuji huo ni uzembe mkubwa, haiwezekani ukashindwa kujua mkeo kama alikuwa anagawa tigo yake nje!ukiwa unasex na mkeo kama huwa analiwa tigo nje utajua tu, there are some signs..........we vipi bana bujibuji acha uzembe!
 
PHP:

Mkuu nakupa pole sana mapenzi yana asarikubwa najuakiasigani unaumia lakini mkuu kapime na ukisalimika peleka kwao akalee mtoto huyo sio binaadm wakawaida mchezo mchafu huo kaka FUNZALIKISHA ingia halitoki ama utakuwa na ndoa msumari kwakuwa wewe simchezo wako mungu akuepuche na uchafuhuo mpetalaka bila kuangalia nyuma hakufai manesi hawaongopi
 
Bujibuji huo ni uzembe mkubwa, haiwezekani ukashindwa kujua mkeo kama alikuwa anagawa tigo yake nje!ukiwa unasex na mkeo kama huwa analiwa tigo nje utajua tu, there are some signs..........we vipi bana bujibuji acha uzembe!
Kwa faida ya wana jf weka hadharani ili wakawachunguze ze wife zao!!
 
Wanasema kuwa eti mlango wa nyuma mkubwa sana, akashindwa kusukuma mtoto, akawekewa vitambaa na pamba nyingi ili kupunguza ukubwa wa mlango huo wa chai maharage
usiamini sana maneno ya hao manesi
huyo ni keo na wewe ndiye unamjua vizuri kuliko wao
wana uhakika gani na hayo wanayoyasema?wamempimaje?
 
ooh my god pole sana Bujibuji kumbe ndo maana ulipotea ..hapa kidogo pagumu ..nitarudi na ushauri wa hekima
kuwa mvumilivu
 
Kwa faida ya wana jf weka hadharani ili wakawachunguze ze wife zao!!

tatizo sijui watu huwa wanasex na wapenzi wao huku wamefumba macho?????unatakiwa uwe makini na kila tendo mnalolifanya ndani ya tendo!kama ni mzoefu wa kuliwa tigo, ukiwa unapiga nje ndani lile tundu la tigo huwa lina respond kwa kufumba na kufumbua!na hata kama ukitaka kupitisha hata kidole unakuta mwanamke wala hashtuki na zaidi atajikausha kimtindo!ukifanya doogy style utagundua vizuri!
 
huh! pengine kazaliwa na tatizo hilo jee?

mkuu bilisi huyo anataka kuingia kwenye ndoa yako. Hala hala
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom