Nimezielewa sana Honda Cross Road

Kaka Pekee

JF-Expert Member
Apr 3, 2018
336
559
Gari aina ya Honda Crossroad ni aina ya gari inayotokea kunivutia sana kutokana na Muonekano wake, nafasi ndani ya gari ya Engine safi na hata Ground Clearance fasi kwa barabara zetu za huku Madongo kuinama. Hii ni gari yangu ya Nne baada ya Toyota IST, Nissan Wingroad, na Yoyota RAV 4,

NB: Mwenye Honda Crossroad aliye Interested kuanzisha Social media Club ya gari hizi ili kuchat kuhusu Fahari,Changamoto Upatikanajibws Spare za aina hii ya gari sambamba na Kupanga Camping Trip ya pamoja karibu kwa comment hapa au Inbox tuyajenge.




28DBA8BA-AA52-417F-8DA4-BFA5A706FF74.jpeg

5092855B-8462-43E0-9F55-AE12F88C579E.jpeg

06DF75DA-B73F-493C-B502-D886D342DED1.jpeg
 
The only thing ambacho ni kibaya kwenye hiyo gari haina spare tyre.

Hapo tu.

Otherwise kila kitu kiko poa.
Nimecheki ushuru naona wa kawaida sana. Ingawa CIF kidogo imechangamka ila me najua Dar mafundi wapo. Hii nayo ipo kwenye to-do list ya 2022/23.

Prius, Crossroad, Impreza G4, Audi A3/4, na lile C series za 2009 kuja juu aisee.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom