Nimeziba jino zaidi ya mwezi nyuma, sasa hivi nikitafuna kama lina ganzi, nikibonyeza juu ya shavu kuna maumivu kwa mbali nayasikia, nini tatizo?

Nimeziba jino mmoja ya hospitali hapa mjini sio vizuri kuitaja jina kwa sababu nitaharibu biashara ya watu wakaikimbia Dar.

Jino langu nimeziba zaidi ya mwezi wakuu siku ya kuziba nilichomwa sindano ya ufizi ganzi ikaingia uzuri nikafanyiwa harakati nikamaliza,nikarudia kama awamu mbili kisha wakaziba kabisa.

Sasa hivi hili jino ambalo nimeziba naona kama nikila kitu kama linafanya ile ganzi ya kuuma pale ninapotafuna ama ikitokea jino nimeligonga basi nahisi maumivu kama ya ganzi hivi nisipolifanya kitu haliumi.

Sasa nikibonyeza upande wa juu kule ambako nilichomwa sindano naona kama naskia maumivu hivi,tena ile sehemu ya maumivu iko sawa sawa na jino ukishuka kwa chini.

Je nini tatizo mpaka maumovu haya wana ndugu ?
Tunaondoa maumivu ya jino milele.
Linalouma
Lilililotoboka halitauma tena
Linalouma usiku
Linalouma likiguswa na kitu moto
Linalouma likiguswa na kitu baridi

Usipopona tunarudisha pesa yako
Kupona ni siku 3 tuu.
Tupo dar ubungo
Kariakoo
Moshi
Lushoto
Mombo
Pia Tunatuma kote Tanzania 0719796574
 
Bei ya dawa ni hela ngap?
Tunaondoa maumivu ya jino milele.
Linalouma
Lilililotoboka halitauma tena
Linalouma usiku
Linalouma likiguswa na kitu moto
Linalouma likiguswa na kitu baridi

Usipopona tunarudisha pesa yako
Kupona ni siku 3 tuu.
Tupo dar ubungo
Kariakoo
Moshi
Lushoto
Mombo
Pia Tunatuma kote Tanzania 0719796574
 
Pole Sana
Hilo walifanya RCT
MATIBABU YA mzizi wa jino
Na Hali kuwa obturated
Imepelekea kupata infections kupitia canal wazi
Tiba dawa waliyoziba itolewwe Na ufanye RCT UPYA
###0774891006

Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
Unachokisema ni sahihi mkuu.

Nilibadilisha hospitali nikaenda hospitali nyingine.

Wakanitoa ile riSasi wakaanza kuniziba upya jino na ilinichukua wiki kama tatu hivi mpaka kuziba.

Tokea mwaka wa 2021 mwanzoni mpaka hivi leo halijawahi kuuma wala kutoka ile risasi ya jino nililoziba.
 
Zipo dawa za meno mzuri kwa ajili ya kutumia na meno hayaumi Luna siku jino liliuma Kuna dawa nilipewa imeandikwa kama kihindi au kiarabu (sikuizingatia niliizarau) ni nyekundu kuanzia tube yake mpaka dawa yenyewe na ina harufu ya karafuu ukitumia ipo vizuri sana.
NIlishawahi kuandika kwamba hiyo ni dabul red.

Ndio dawa nayotumia tokea mwaka 2020 mpaka leo sijawahi kusikia jino kuuma tokea hapo.

Japokuwa niliziba jino na sinaga matatizo ya meno ila hii dawa naiamini vizuri.
 
Back
Top Bottom