Nimezama kwenye penzi la mjeda, sioni sisikii

Natakakutulia

Member
Jan 20, 2020
56
373
Habari wanajamvi,

Acha niongee maana penzi limenikaba koo sifurukuti. Natamani kuhadithia raha nazopata jamani, sikuwahi dhani kuna mapenzi matamu hivi hasa kutokana na kutendwa huko nyuma jamani.

Kwa kweli shikamoo mjeda laaaaa, ananipa kile mwanamke anatakiwa kupewa!! Ananijali ananitunza utadhani malaika uwii mwanzo nilijua huenda ananiigizia kumbe ndivyo alivyo yapata mwaka sasa ila ndio penzi linazidi kuwa tamu tu jamani.

Yaani kakamilika kila idara anajua nataka nini kabla sijasema kafanya hakika duniani bado kuna wanaume, tukiwa ndani ndio ibaki kuwa siri yangu maana uwiii.

Nami najitahidi kumpa heshima, uaminifu wa kiwango cha SGR na nidhamu kama zote na sukari nampatia la hela yote yaani sitaki chezea bahati.

Mapenzi matamu nyie acha tu labda kama hujapewa.

Nalog off

1622887854013.png

 
Hao jamaa wengi wao ni madomo zege ndo maana wakibahatisha demu humgharamia sana wakiogopa kuachwa.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom