Nimezama kwenye penzi la beki tatu.(update)

Unajua mabaki tatu wengine wanapewa madawa ya kuwakamata wababa wenye nyumba? Tafuta maombi wewe... Huo ufala
 
Hahahaaa, mm ni mwalimu wa chuo mkuu, wanakuja visu balaaa, na shida sasa darada langu lina wanawake wengi kuliko wanaume, anzia formfour na six leaver wanaosoma kozi fupi, na wanaooma kozi ndefu
Una matatizo ya akili... Ndo nyie mnaharibu wanafunzi. Inaelekea ndo zako kupenda dogodogo.... Unaharibu future zao. Kama kweli ni mapenzi ungemuoa, kama kweli ni mapenzi basi ungemfuata ata huko kijijini ukabadilishe maisha yake... Kumla tu na kumuacha na hali uliomkuta nayo umekua mbaya kuliko shetani.
 
Mkuu kula tano kwanza, ni kweli anamtumia kwa saiv je afikiria maisha ya huyu binti kwa siku za mbeleni, mfano akimpa mimba nini matokeo yake???
Akishabeba mimba tu ndo atakapokuja stuka.... Na ukimpa mimba huyo jua ukoo mzima unakuja kumsaidia kung'oa mkeo
 
Back
Top Bottom