Nimezaa na nisiyempenda

Ukute mtu alikuwa anatafuta ndoa..

Kaka wewe si wa kwanza kuzaa...kama hayuko moyoni lea mwana...jiandae kwa challenge siku za usoni utakapopata umpendae...hasa akiwa hana big heart ya kumpenda mwanao...

Kwa wengine mkiona mwenzenu ananyolewa tieni maji...

Wacheni kutembea na wanawake wasio wa type zenu...watazilengesha sana mimba na kama huna msimamo unaona...
 
I regret this so badly n am feel very sorry for my soul..unajua kuna some incidence huwa zinatokea bila hata kutegemea..cjui hata nifanyeje ..when I look at my son drop of tears hits the ground
 
Wakati unamtia hukuwahi kuomba ushauri.... namtia nisiyempenda.... majibu ya kazi yako yametoka unataka tusahihishe... no way out learn how to love her..... unakojoa tu uliambiwa unaotesha mti.... ole wako mtoto ateseke pumbafuu kabisa..... Alafu utakuta unakuja na swali mbona wanawake wanazalia nyumbani ......ulianzaje kumtia huku umpendi swali?
 
I regret this so badly n am feel very sorry for my soul..unajua kuna some incidence huwa zinatokea bila hata kutegemea..cjui hata nifanyeje ..when I look at my son drop of tears hits the ground

Ukome kabisa
 
Wakati unamtia hukuwahi kuomba ushauri.... namtia nisiyempenda majibu ya kazi yako yametoka unataka tusahihishe... no way out learn how to love her..... unakojoa tu uliambiwa unaotesha mti.... ole wako mtoto ateseke pumbafuu kabisa..... Alafu utakuta unakuja na swali mbona wanawake wanazalia nyumbani ulianzaje kumtia huku umpendi swali?

Umeuliza swali zuri sana,nimeanzaje kumtia wakat simpendi ..right ni kwamba she was the one who spoke to me kwamba ananihitaji,of course nilimkatalia kwamba siko tayari nina mpenzi wangu(though kwa muda huo nilikuwa single)but hakutaka kuelewa kila siku akawa anaendelewa kuniplease huku analia mara kwa mara..at the end of the day nikamwambia basi tuwe marafiki wa kawaida tu.sasa katka urafik wetu wa kawaida akafanikiwa kunishawishi na mm kama binadamu nikajikuta nimeanguka so am very confused by now!!
 
Sasa cha kufanya ni wewe kujishawishi kumpenda yeye na mtoto ... tunza familia yako
 
If possible give me the secret how to do this..unajua naweza try to love her lakin sidhan kama ntaweza show real love..

Kumwangalia kama ndiyo one and only kakuzalia kidume cha mbegu kama wewe yani hapo unaweza mpenda
 
He is my son n I do love him.lakin amezaliwa kwa mama siye!

chukua mwanao, achana na huyo mwanamke tafuta utakaempenda na kukulelea mtoto wako
...ila kuwa makini sana maana wanawake wa skuizi hawapendi kulea watoto ambao sio wakwao, kutokana na hali ya maisha ukajikuta mtoto hana direction, anateseka tu...

kumbuka na zingatia kwamba ''wapiganapo tembo, nyasi ndo huumia"
 
Wana jf naombeni ushauri wenu najihisi kama nimepoteza.Mimi ni kijana wa miaka 27 nimetokea kuzaa na msichana nisiyempenda..sasa sijui nifanyeje ili niweze kumpenda maana hayupo moyon kabisa.
mwambie tu ukweli kuwa humpendi na mtoto umlelee kwa mama wa kambo ikiwa mapema! kwa mtindo huu hata hiv hitaisha maana vijana ata kondomu hawazijui kabisa!
 
Utamuoa wakati huna mapenzi naye...afu ukazae nje ya ndoa...maana kuna watu wana familia mbili sababu ya ndoa za kulazimisha...

Kipi bora...ulee huyo mtoto mmoja na uoe mke umpendae au umuoe usompenda afu uwe mchapuko profesional?

Za kuambiwa changanya na zako...unaoa sababu ya love nothing else but love...ukibugi hapo ndio utalia kuliko kuzaa nje ya ndoa...

Na wewe unaonekana mpole ndio maana uligandwa ukagandamana...

Mtoto kama ni wako unapaswa umpende na kumtunza...(angalia tu asije kuwa si wako...maana nimeshakuona wewe mpole sana hukawii kubambikiwa...)
 
Back
Top Bottom