Nimezaa na mke wa mtu bila kufahamu. Je, naweza kumchukua mtoto?

Mtu anaomba ushauri WA kisheria..
Mijitu inakuja kubwabwaja utumbo humu Kwa kuhisia hisia na mihemko..

Hili sio jukwaa la chitchat au MMU au dini..
Hizo moral zenu pelekeni huko
Kama hujui sheria acha wanasheria wamsaidie mhusika...
We hapa umetoa ushauri gani wa kisheria? Mtu kaomba ushauri wa kisheria badala utoe ushauri wa kisheria umeishia kuwaelekeza aina ya jukwaa mada ilimowekwa kana kwamba kuna mtu hajui aina za majukwaa ya Jf, vp huku pia sio kubwabwaja?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom