Nimewasikiliza wabunge wa CHADEMA waliohojiwa na PCCB, yawezekana Lijualikali ni mwongo wa "Kutupwa"

Hili tatizo pia kwa chombo chetu cha kuzuia na kupambana na rushwa kufanya kazi kwa shinikizo, mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali katoa hati safi kwa CHADEMA kuwa hakuna utumizi wowote mbaya wa fedha, halafu unasikiliza tu kauli kutoka kwa mchumia tumbo Lijualikali anayeomba huruma CCM na unaanza uchunguzi pasina kujiridhisha katiba ya chama inasemaje kuhusu michango ya fedha kwa wabunge ndipo uchunguzi uanze. Fundisho kwa taasisi zingine zisifanye kazi kwa amri fulani
 
chama ambacho kinamtegemea TAAHIRA kama musiba ili akisemee kimeishiwa mbinu kinakimbilia TAKUKURU.
kulalamikia pesa anayokatwa mbunge wa CDM ni sawa na mkiristo kulalamikia sadaka kanisani.
 
Back
Top Bottom