Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,775
- 3,610
"bange nibangue"
Hiki ni kiatu nimenunua Special for you Amyner. Nadhani kitakupendeza kweli ukikivaa na huo urembo wako.
Duuuu, ukivaa si utaonekana unapekua....... Ila nimevipenda.
Young Master bora nitembee peku!
wife jeshi tosha, alijiokoa mwenyewe, si wajua mtoto anacheza makarateka toka darasa la pili
Kama umevipenda nipe contact zako nikuletee.
Nipe bei niione Kama nitaweza kuvinunua.
Siuzi hivi viatu mkuu. Nimeleta zawadi special kwa wana JF tu.
Kweli nimeamini kazi ya maboksi si mchezo si mkae tu huku sasa ndo kiatu gani hicho hata baba Asprin hawezi kuendeshea KUBOTA.