Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,004
- 173,644
🤣Basi ni yechu yechu na Maria mamlai. Sogea kindepa basi.Me mwenyewe napenda baba la baba😂🤣🤣
🤣Basi ni yechu yechu na Maria mamlai. Sogea kindepa basi.Me mwenyewe napenda baba la baba😂🤣🤣
Hebu nione atakayetaja jina kama langu
bado mnacheza kwenye kumi atakae fikisha ishir na sita ataniambia nianze kukumba wengine niliowasahau..
Mwingine ndio natoka kumchukulia wake dukani muda huu! Maana muda siwakuuchezea kabisa!View attachment 1180646
Wale wanaume wenye tiketi za Air Mbinguni tunapiiiiita kwa mbaaali
Sawaa mkuuNaomba usirudi ubakii huko huko..maana ukirudi nitapiwa kwa kicheko
Nipeeee mswaki wanguMwingine ndio natoka kumchukulia wake dukani muda huu! Maana muda siwakuuchezea kabisa!View attachment 1180646
Sinaa mawasiliano nae nduguuMsalimie Zaitobo..
😂😂😂🏃Ile hali ya kutokumkubalia mkuu asemacho
Una umr gan kijana,mbona wachache sanaaa
umeuaaaaTinna (Wa kwanza na uliniambukiza ugonjwa wa zinaa, barikiwa)
Janet (Yo tha baddest ma'am..ulinipenda nikaharibu mwenyewe, ulinifumania Mara mbili na hiyo ya pili ukaamua kuondoka mazima. Still sijapata mbadala wako)
Paskalia (kuna watu wanasema wamekutana na ma slay queen, wanatania hawajakutana na wewe)
Rhoida (Ulinipenda nikakufanya side chick, that love was real... Sorry)
Uria (sasa kwanini uliamua kuolewaa ukaniacha?)
Marry (1)(Rest in peace ma'am...bado naenda zile sehem tulikua tunaenda pamoja..siku hizi TAZARA pale wanakataza kukaa idle)
Prisca (Kuna watu wanadanga ila wewe ni konyoo, nimekunyooshea mikono)
Vaileth (We falaa Usingetoa mimba yangu ningekua na chalii mwenye miaka mitatu saiv)
Marry (2) (Asante kwa kunitunuku usichana wako, najua sikufanya makosa)
Oda (We mngoni unajuaa sana)
Regina (That p_ssy of yoz sijui uliweka asaliii??)
Zaituni (Wahuni walikua wanakuita Zaitobo, kweli ulijua kukitembezaa)
Moreen (Wazazi tuu hawakutaka uwe na Mimi, ila tulipendana sana)
Halima (Ukiacha kutokujitambua utakua mtoto mzuri sana)
Nitarudiii
Noma sana!Mwingine ndio natoka kumchukulia wake dukani muda huu! Maana muda siwakuuchezea kabisa!View attachment 1180646
Sheria ni mpaka uchakae kama wa Irene hivi!! Kazana kuja kulala tuu..Nipeeee mswaki wangu
Hao ndio Wanaongoza kwa mahudhurio Mr! Huu ni ushahidi wa wanaokesha tuu. Wengine ni wa Day!Mkuu hiyo miswaki ya Akwila, Leah, Cathe na Irene inatumika kwenye meno tu au na sehemu nyingine za ziada? Maana daah!
Noma sana!Hii miswaki inanipa picha hao mademu wakoje..