Nimewaelewa watanzania ,kupitia uzi wa 2015 Kikwete alipokwenda Saudia kutoa mkono wa pole na ulinganio ufanywao sasa kati yake na Rais Magufuli

thetallest

JF-Expert Member
Oct 21, 2017
8,256
9,085
Hakika watanzania na wanadamu kwa ujumla hawana jema ,jema kwao ni pale linapokua na maslahi yao binafsi na si jamii kwa ujumla.

Nakuomba Rais Magufuli usibadili vision yako kwa nchi hii kupitia tuhuma za hawa ngulu mbili.fanya unachokiamini .

Kwani muda wa kustaafu utafika utaona jinsi baadhi ya watanzania walivyo wanafiki ,baada ya awamu ya sita kuingia madarakani.
Kiukweli kikwete alipondwa sana,na sasa kawa lulu,thread ipo lakini haohao waliomponda leo wanaipita kimyakimya kama si wao waliokoment.

Mwanadamu kaumbwa na hulka ya kutoridhika,ni kwenda nae hivyohivyo tu,

Cha msingi tumia muda wako barabara.
 
Vivyo hivyo kipindi hicho Jiwe na Lumumba mnamsifia JK kipenzi cha watu hivi sasa mnamponda tena kwenye majukwaa.
 
Ndgu yangu kikwete alifanya kazi na watz wote hakutawala aliongoza.huyu anatawala haongozi ndyo mana leo hatuna bunge tunavikao vya chama kule dodoma.leo hatuna media tunamedia yakuimba utukufu leo hatuna uhuru wakukosoa (freedom of expresion) ukikosoa ujue kunakutekwa au kupotezwa.wote nikuimba utukufu hili linamfanya tuone utofouti mkubwa kati yao.
 
Kama aliongoza matusi ya kiongozi dhaifu mliyatoa wapi?,au mmejitoa ufahamu Kama makahba,akija huyu dhaifu akija huyu dikteta tuwaelewi vipi? Ninyi Ni popo sio ndege
 
Pamoja na yote hayo usemayo,ndio alichostahili kwa comment zenu alipokua mamlakani?,mmeyatambua hayo baada ya Magufuli ku take place?.
Imani yangu hata kwa Magufuli itakua hivyo
 
Huyu Rais dhaifu Sana,huyu Rais dikteta ,Hawa jamaa nawafananisha na machagundoa hawana msimamo wapowapo tu hawajieweli ,ndo maana yule mzee aliwaita NYUMBU,nilifikiri kawatukana kumbe hakukosea
 
Kama aliongoza matusi ya kiongozi dhaifu mliyatoa wapi?,au mmejitoa ufahamu Kama makahba,akija huyu dhaifu akija huyu dikteta tuwaelewi vipi? Ninyi Ni popo sio ndege
1558979010703[1].jpg

Haya Mapopo!
 
Endapo mwana wa Mungu alikuwa challenged zama hizo,iweje kwa binadamu anaetamani kuwa malaika mkuu!?Tuvumiliane tusitamiliane. Hata bustani ya maua hupendeza kwa kuwa na rangi tofauti.
 
Kama aliongoza matusi ya kiongozi dhaifu mliyatoa wapi?,au mmejitoa ufahamu Kama makahba,akija huyu dhaifu akija huyu dikteta tuwaelewi vipi? Ninyi Ni popo sio ndege
Aliongoza sio kutawala. Ndio maana alipoitwa dhaifu alielewa wanamaanisha nini na akajitahidi kuondoa huo udhaifu.
Mtawala hafanyi hivyo, hata kama kweli kafoji elimu yake ukimwambia tuu unatekwa na kupotezwa.
 
Hivi unaweza kujisumbua akili na chadema? Tangu mwanachadema akawa na msimamo?

Wale hata familia zao zina shida sana sababu hawana misimamo
Shida ipi? Tafiti za Twaweza zilisema watu maskini na wenye elimu ndogo ndio idadi kubwa ya wafuasi wa ccm.
Sasa wepi wanapata shida?
 
Aliongoza sio kutawala. Ndio maana alipoitwa dhaifu alielewa wanamaanisha nini na akajitahidi kuondoa huo udhaifu.
Mtawala hafanyi hivyo, hata kama kweli kafoji elimu yake ukimwambia tuu unatekwa na kupotezwa.
Na ndiyo maana hakuna lolote la maana. Unaongoza wastaarabu huwezi kuongoza wendawazimu wasio kua hata msimamo dawa yao kuwatawala mpaka akili ikiwarudi na kurudisha akili ya nyumbu kwa wenyewe nyumbu.
 
Hakuna LA maana kwa muonekano upi? Hata hivyo kumbuka ilikuwa ccm hiyo hiyo. Na huyo unaemsifia kwa miaka 20 alikuwa kama waziri humohumo na hakufanya LA tofauti au kujitenga nao bali naye alikuwa anafakamia raslimali zetu kama wenzake.
 
Huo ni uongo mkuu. Hata hao ulionao huko unawaita makamanda ni zao la ccm. Leo unamtetea hata Nyalandu umesahau kama Nyalandu pia ni zao la ccm. Ndiyo maana mnaitwa Nyumbu sababu ni wepesi kusahsu na viongozi wenu wanajua huo uzaifu.
 
Hakika watanzania na wanadamu kwa ujumla hawana jema ,jema kwao ni pale linapokua na maslahi yao binafsi na si jamii kwa ujumla.

Nakuomba Rais Magufuli usibadili vision yako kwa nchi hii kupitia tuhuma za hawa ngulu mbili.fanya unachokiamini .

Kwani muda wa kustaafu utafika utaona jinsi baadhi ya watanzania walivyo wanafiki ,baada ya awamu ya sita kuingia madarakani.
Kiukweli kikwete alipondwa sana,na sasa kawa lulu,thread ipo lakini haohao waliomponda leo wanaipita kimyakimya kama si wao waliokoment.

Mwanadamu kaumbwa na hulka ya kutoridhika,ni kwenda nae hivyohivyo tu,

Cha msingi tumia muda wako barabara.

Kwa taarifa yako hakuna mtu anamsifu JK kwani tuhuma zake zilikuwa wazi, na ukiona mtu anamsifu ujue sio sifa bali ni kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa ili kumnanga jiwe.
 
Huyu Rais dhaifu Sana,huyu Rais dikteta ,Hawa jamaa nawafananisha na machagundoa hawana msimamo wapowapo tu hawajieweli ,ndo maana yule mzee aliwaita NYUMBU,nilifikiri kawatukana kumbe hakukosea
Acha utoto dogo, kwakuwa aliyepita alikuwa dhaifu, basi huyu ulitaka watu waseme ni imara? Ni dictator fullstop. Uzuri tunajua sifa za rais imara, dhaifu na dictator.
 
Back
Top Bottom