Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,725
- 21,803
Am good....you?Hii ndo JF, kama ilivyo mitandao yote tunayotumia majina na utambulisho fake, insults, bullying na offensive language ni common things.
Wengine utakuta tuna stress zetu za maisha hivyo tunatafuta pa kuzipunguzia.
How are you anyway!