nimevutiwa na kila kila kitu ktk picha hii...wewe kimekuvutia nini?

Wasiwasi wako tu nakuhakikishia ukimwamini mkeo hata yeye atajiheshimu,ukimtilia shaka naye anakata tamaa siaminiwi acha nifanye kweli.
mkuu nishawahi kuwa na chombo matata ndani hapo bongo.nilitafuniwa sitasahau jinsi ilivyoniumiza,nilikaribia kuwa chizi
 
mkuu nishawahi kuwa na chombo matata ndani hapo bongo.nilitafuniwa sitasahau jinsi ilivyoniumiza,nilikaribia kuwa chizi

Pole mkuu kuna wale 'kunguru hafugiki' lakini sio kinadada wote wako hivyo jaribu kumsoma kabla hujakabidhi moyo wako.
 
aaah ntake radhi cheusi sijawahi kukimbia bili.hata kama nimeuwawa lakini nikapata mtoto km wewe bill italipwa hata kama ni kwa kuweka bond mazagazaga.BTW hiyo picha mfuko wa MAC D pembeni.hamna mac d bongo.

niwie radhi ndugu yangu.si nia yangu kukukosea.
 
Cheusi una vituko weye hahaha? kuna jamaa alimuuliza dadapoa mmoja mbona wateja wengine unataka wakulipe kwanza na wengine baada ya mechi anakupa mwenyewe? akasema ukimwangalia machoni tu unajua huyu atatoroka na huyu hana matatizo,kwahiyo BK angeombwa malipo kwanza hahaha!

tena kwa BK unaomba malipo kwanza halafu hiyo pesa unampa counter akushikie halafu ndo sasa mnaenda faraga.,maana wengine wanalipa geresha kupunguza maneno halafu akishakula tunda anakunyanganya.
 
tena kwa BK unaomba malipo kwanza halafu hiyo pesa unampa counter akushikie halafu ndo sasa mnaenda faraga.,maana wengine wanalipa geresha kupunguza maneno halafu akishakula tunda anakunyanganya.
ha ha haaa,hii kali.kusema ukweli kwangu demu hata awe changu aisee akitanguliza pesa baaasi mzuka unanitoka kabisa.hata awe mzuri vipi ntampa hela yake kisha atimue majamboz no.
 
Hayo manyoya akibahatika kweenda kwenye mwezi ataweza kutua kweli? Au atakuwa anaelea tu!!
 
ha ha haaa,hii kali.kusema ukweli kwangu demu hata awe changu aisee akitanguliza pesa baaasi mzuka unanitoka kabisa.hata awe mzuri vipi ntampa hela yake kisha atimue majamboz no.

sasa BK unadhani machangudoa wanataka nini kama sio pesa,wenzio wako kazini,lazima watangulize pesa mbele kakangu ndio ajira yao 'GOd forbid' na wanaowafata wanajua ni pay and play.
 
he hee jana nilikuwa pati moja kuna wadada wawili walikua na shepu kama avatar ya cheusi di di di,ilifurahisha jinsi vidume walikuwa wanapishana kuomba contact lol.:hungry:

Mkuu hizo shepu ni balaa.. unaweza kupigana kama ni wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom