nimevutiwa na kila kila kitu ktk picha hii...wewe kimekuvutia nini?

sio kila mtu anapenda kunyoa vinyweleo vya miguu au mikono, especial wanawake wenye asili ya kiarabu au waislamu, kama bado ninakumbukumbu nzuri,nakumbuka miaka ile nilipokuwa nisoma madrasa niliwahi kuambiwa ni dhambi kuvitoa hivyo vinyweleo,niliamini na mpaka leo naogopa kuvinyoa vya kwangu.
ila bado najiuliza, kuna tofauti gani ya kunyoa makwapa na hivyo vinyweleo vya miguu na mikono? hili limenitatiza kidogo.
 
Duuuh!
Kimekosekana Kikuku tu hapo

style hiyo ya viatu haiendani kuvaa kikuku, unavaa kikuku kwa style ambayo haina hizo kamba kamba za viatu.
ukiona mwanamke anavaa kikuku akia amevaa style kama hiyo ya viatu,basi ujue hajui ni wakati gani kikuku kinatakiwa kivalie, maana ya kikuku ni kuoneka, sio kama shanga zinazofichwa, sasa hapo ukivaa kikuku hakiwezi kuonekana na kurembesha mguu.
 
Hii post labda tuseme ni breather lakini haina mchango wowote. Tusipoteze muda ktk nonsense.
we dont need breather on sunday; na si lazima kila post uipende au iwe na mchango katika taifa, kama hivyo za malaria sugu zingejenga bandari na reli

changanya kongoro uwahi mchango wa taifa mazee, usije ukakosa mchango
 
Cheusi mi niwe na vinyweleo na demu awe na vinyweleo hainogi sista napenda mkono wangu ukipita nipate ule ulaini/nyororo ya ngozi ya kike.

nimekupata bro,hata mie huwa siruhusu hata vione mwanga wa jua navitolea mbali,vinahesabika ni uchafu kama zileee nyingine zinavyotolewa sbb ni úchafu kuzifuga.ila nilimaanisha sumu kwako kwa mwenzio juice.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom