Sick conclusion.Bikra Matters
Kwa nini mkuu??Ningekua na brother km wew nakujengea sanamu sebleni kwangu hata km naish nyumba ya kupanga
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Ningekua na brother km wew nakujengea sanamu sebleni kwangu hata km naish nyumba ya kupanga
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Mbona kama wewe ndio una akili za kitoto mkuu? Sorry lakini!Huyu jamaa ana akili za kitoto hatari. Halafu anaelekea kwenye uzee. Vijana wanamsikiliza kweli na porojo zake za bikira.
Wala bila sorry. Umri wako?,ili nikuelewe nikupime uelewe wako kuringana na umri wako. Mwisho unaamini ktk bikira miaka hii?. Jibu lako kwa hili swali litakuwa limenipeleka kwenye umri wako pia.Mbona kama wewe ndio una akili za kitoto mkuu? Sorry lakini!
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app