Nimevunja kibubu muda huu, siamini nilichokikuta ndani

Kumbe nikweli ukinunua hela zinapotea?
Hakuna hiyo kitu. Mimi nilikuwa na kibubu nikakitunza mwaka mzima. Siku niliyofungua nilishangaa! Lakini nilikuwa naweka elfu kumi kumi, nachanga zikifika kumi nachenji na naweka 10 ndani ya kibubu ili kisijae haraka.
 
Hivi bado watu wanatunza hela kwenye vibubu?
Unashangaa nini sasa? Au hujakutana na tozo wewe? Na kwa taarifa yako vinaongezeka mitaani. Waulize mafundi seremala, oda za vibubu zilivyoongezeka baada ya tozo kuanza kung'ata!
 
Dah, yaani hapa wakuu natamani kucheka wakati ni jambo la hovyo limetokea
Siku ya tarehe 3 mwezi huu, ni juzi tu hapo niliamua kununua kibubu na nikaanza kuweka visenti vyangu ninavyopata kazini, kazini nalipwa kwa kila siku, nikaona hela nayolipwa kwa siku ni nyingi na nikajiapiza kuwa nitakuwa nakula walau robo ya kipato na nyingine nitadumbukiza kwenye kibubu.

Kwakuwa ilikuwa tayari ni usiku na nimeshatumia hela niliyolipwa siku hiyo, nikaamua kukizindua kibubu changu kwa kuweka vijisenti vilivyobaki kwenye matumizi, nikaweka 3,400/=
Tarehe 4. 7,000/=
Tarehe 5. 12,000/=
Tarehe 6. 10,000/=
Tarehe 7 nikaweka chenchi chenchi kama za elfu 3.
Tarehe 8 nikaweka 20,000/=
Sasa kwakuwa huwa nasikia stori nyingi kuhusu vibubu, ikabidi nifanye ziara ya kushtukiza kwenye kibubu changu, nikivunje kibubu nione hesabu zangu kama ziko sawa au vipi.

Haha! Kama mchezo wa kuigiza tu wakuu, yaani Hapa nimekuta 23,000 mpaka siamini nachokiona.

Chenchi zote zipo, kasoro zile noti tu.

Mlaaniwe wauza vibubu
Next time fungua fixed account chochote hata 500 unaweka.
Pili kibubu tengeneza mwenyewe,
Tatu kamwambie aliyekuuza kibubu akirudishie pesa zako
 
Humo ndani unaishi peke yako?
Acha mawazo yakishirikina, kwenye vibubu pesa inatolewa tena bila kukivunja.
Amesema anakaa peke yake tena hela ameanza kuweka tar 3. Na mahesabu yote anakumbuka. Kwanini tumlazimishe kuwa kaibiwa wakati hiyo ni sayansi ya mwafrika tena haijaanza leo?
 
Dah, yaani hapa wakuu natamani kucheka wakati ni jambo la hovyo limetokea
Siku ya tarehe 3 mwezi huu, ni juzi tu hapo niliamua kununua kibubu na nikaanza kuweka visenti vyangu ninavyopata kazini, kazini nalipwa kwa kila siku, nikaona hela nayolipwa kwa siku ni nyingi na nikajiapiza kuwa nitakuwa nakula walau robo ya kipato na nyingine nitadumbukiza kwenye kibubu.

Kwakuwa ilikuwa tayari ni usiku na nimeshatumia hela niliyolipwa siku hiyo, nikaamua kukizindua kibubu changu kwa kuweka vijisenti vilivyobaki kwenye matumizi, nikaweka 3,400/=
Tarehe 4. 7,000/=
Tarehe 5. 12,000/=
Tarehe 6. 10,000/=
Tarehe 7 nikaweka chenchi chenchi kama za elfu 3.
Tarehe 8 nikaweka 20,000/=
Sasa kwakuwa huwa nasikia stori nyingi kuhusu vibubu, ikabidi nifanye ziara ya kushtukiza kwenye kibubu changu, nikivunje kibubu nione hesabu zangu kama ziko sawa au vipi.

Haha! Kama mchezo wa kuigiza tu wakuu, yaani Hapa nimekuta 23,000 mpaka siamini nachokiona.

Chenchi zote zipo, kasoro zile noti tu.

Mlaaniwe wauza vibubu
Walikua wanakusomea gepu ukiweka wanachomoa na pini
 
Unashangaa nini sasa? Au hujakutana na tozo wewe? Na kwa taarifa yako vinaongezeka mitaani. Waulize mafundi seremala, oda za vibubu zilivyoongezeka baada ya tozo kuanza kung'ata!
Yaani unaogopa kukatwa 3000 ila upo tayari kupoteza laki 3
 
Nimetengeneza picha jinsi ulivyokua unatupia hizo hela mpaka kuja kukivunja kibubu nimecheka sana ila sijui kama zingefika hata laki maana unaweka hela huku una kumbukumbu nzuri ya ulizotupia Mkuu ukifikisha 50elfu kwa hesabu zako utazitoa hata kama kibubu hakina mawenge wenge...
 
Hakuna hiyo kitu. Mimi nilikuwa na kibubu nikakitunza mwaka mzima. Siku niliyofungua nilishangaa! Lakini nilikuwa naweka elfu kumi kumi, nachanga zikifika kumi nachenji na naweka 10 ndani ya kibubu ili kisijae haraka.
Mkuu, chuma ulete kwenye vibubu inafanya kazi! Mimi nimelishuhudia hili, hapa naishi peke yangu, kibubu nimekinunua na nikaanza kuweka pesa, na pesa ambazo nimeweka nazikumbuka vizuri, maana haijapita hata wiki, niliweka kama elfu 50 hivi, cha ajabu navunja kibubu nakuta 23,000.
Leo Mpaka kesho nitaamini kuna chuma ulete na inafanya kazi
 
Amesema anakaa peke yake tena hela ameanza kuweka tar 3. Na mahesabu yote anakumbuka. Kwanini tumlazimishe kuwa kaibiwa wakati hiyo ni sayansi ya mwafrika tena haijaanza leo?
Nashangaa jamaa wanalazimisha kuwa nimeibiwa na ndugu yangu ninayeishi naye, wakati naishi peke yangu
Hivi mko serious au? Mnaamini kabisa kuna vibubu vyenye uwezo wa kuiba fedha? Au nimeelewa vibaya?

Mkuu wewe kama uko karibu na kigamboni sema tufanye mpango nikununulie kibubu niliponunua mimi na nikupe bure kabisa, weka hela na baada ya muda kivunje unipe taarifa.
 
Dah, yaani hapa wakuu natamani kucheka wakati ni jambo la hovyo limetokea.

Siku ya tarehe 3 mwezi huu, ni juzi tu hapo niliamua kununua kibubu na nikaanza kuweka visenti vyangu ninavyopata kazini, kazini nalipwa kwa kila siku, nikaona hela nayolipwa kwa siku ni nyingi na nikajiapiza kuwa nitakuwa nakula walau robo ya kipato na nyingine nitadumbukiza kwenye kibubu.

Kwakuwa ilikuwa tayari ni usiku na nimeshatumia hela niliyolipwa siku hiyo, nikaamua kukizindua kibubu changu kwa kuweka vijisenti vilivyobaki kwenye matumizi, nikaweka 3,400/=
Tarehe 4. 7,000/=
Tarehe 5. 12,000/=
Tarehe 6. 10,000/=
Tarehe 7 nikaweka chenchi chenchi kama za elfu 3.
Tarehe 8 nikaweka 20,000/=

Sasa kwakuwa huwa nasikia stori nyingi kuhusu vibubu, ikabidi nifanye ziara ya kushtukiza kwenye kibubu changu, nikivunje kibubu nione hesabu zangu kama ziko sawa au vipi.

Haha! Kama mchezo wa kuigiza tu wakuu, yaani Hapa nimekuta 23,000 mpaka siamini nachokiona.

Chenchi zote zipo, kasoro zile noti tu.

Mlaaniwe wauza vibubu
Mkuu nicha mbao au pleti?
 
Back
Top Bottom