Wabunge wanapata malipo Mazuri kwa ajili yenu nyie walala hoi kazi yao wabunge kupiga makelele Bungeni kuwatetea Wananchi wao ndio maana Serikali inawapa Mishahara Mizuri kasheshe kweli ............... Waswahili husema. Ashibaye Hamjuwi Mwenye njaaCha ajabu Wabunge wanajipendelea wao tu. Posho ndo hizo zimeongezeka ingawa mwanzoni walikuwa wanapinga. Walau salary zao zinakua, za kwetu wengine huku zinaendelea kudumaa kila kukicha....
Jamani Waajiri mtuangalie jamani walau mishahara nayo iwe inakua pia kama ndugu zake!View attachment 42737