Nyakwec's Bro
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 820
- 174
Wapenzi leo siku yangu imeisha vibaya kweli,baada ya kazi nikawa nimekumbuka song flan hivi la Westlife maaana mi ni
shabiki wao toka kitambo enzi za cost to cost hadi Lighthouse.Sasa hilo song ninalo kwenye tape na walkman yangu
ninaiona mzigo ikabidi niutafute Youtube hapo ndy balaa lilipoanzia si nikakutana na hii heading Congratulations Mark
and Kevin!(Engaged)! ilinishtua Mark ninajua ni star wa Westlife sasa Kevin tena engaged basi sikujari sababu
mawazo yangu yalikuwa kwenye hilo song nilipolipata ndy ikabidi nirudi kwenye hy video nione huyo kevin ni msichana
au mvulana na hiyo engagement gani?...
Mama yangu wee!... nikakuta jamaa kumbe anamahusiano na shoga duh,hata sikuamini ikabidi nigoogle kama kawa ndy
nikapata hizo data vizuri na pia kumbe jamaa waliachana mwaka jana baada ya kudumu miaka 6.
Sasa chakushangaza wakati mm ninasikitika huyu jamaa kujihusisha na mambo hayo nikakuta mamia ya watu
wanasikitika kwa comments zao baada ya Mark kutangaza kwenye tweeter kwamba ameachana na Kevin aiseee.
Ninawapenda sana hawa jamaa japokuwa sikuwa ninafatilia saana mambo yao binafsi zaidi ya majina yao na
kinachoendelea kwenye Band.
Kwakweli hizi habari zimenichosha mno hata wimbo wangu nimeshindwa kuusikiliza!............